DUBE ATUPIA AKIWA NA UPARA WAKE,AZAM COMPLEX
HomeMichezo

DUBE ATUPIA AKIWA NA UPARA WAKE,AZAM COMPLEX

  PRINCE Dube, mshambuliaji namba moja ndani ya kikosi cha Azam FC, usiku wa kuamkia leo amepachika bao lake la 7 ndani ya ardhi ya Bongo...

 


PRINCE Dube, mshambuliaji namba moja ndani ya kikosi cha Azam FC, usiku wa kuamkia leo amepachika bao lake la 7 ndani ya ardhi ya Bongo akiwa ni kinara wa utupiaji ndani ya kikosi hicho kinachonolewa na George Lwandamina. 


Alifunga bao lake hili Uwanja wa Azam FC wakati wakishinda mabao 2-1 dhidi ya Mbeya City na kufanya wasepe jumla na pointi sita za timu hiyo inayopambana kujinasua kutoka Kwenye hatari ya kushuka Daraja.

Bao la mapema kwa Azam FC lilifungwa na Idd Seleman, 'Nado' dakika ya 5 na Dube alipachika bao hilo dakika ya 30 huku la kufuta machozi kwa Mbeya City likifungwa na David Mwasa dakika ya 69.

Mchezo wa mzunguko wa kwanza uliochezwa Uwanja wa Sokoine,  Azam FC ilishinda bao 1-0 na jana ilishinda mabao 2-1 hivyo wamesepa na pointi sita jumla mbele ya Mbeya City.

Ni muda mfupi ameanza kurejesha ushkaji wake na nyavu baada ya kubadili muonekano kwa kuwa sasa ana upara kichwani.

Azam FC kwenye msimamo wa Ligi Kuu Bara ipo nafasi ya tatu ikiwa imecheza jumla ya 20 na ina pointi 33.

Mbeya City ipo nafasi ya 17 imecheza jumla ya 20 ina pointi 15 kinara wa ligi ni Yanga akiwa na pointi 46 imecheza mechi 20.



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: DUBE ATUPIA AKIWA NA UPARA WAKE,AZAM COMPLEX
DUBE ATUPIA AKIWA NA UPARA WAKE,AZAM COMPLEX
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEin56FZ6Q-eio5KE_r5PEN3zVQkwVD4btGKdqiTWxvOXHwu5dVev9c3yKjXbp1hBAPvsZ6J2HMj1wWLnfdC3-8WynGeypbRX1A1Gh7hmn8eUVQWKKEPZ4d7Fcm2DKpnTONZr7LHic0oo3WT/w640-h640/IMG_20210219_103622_622.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEin56FZ6Q-eio5KE_r5PEN3zVQkwVD4btGKdqiTWxvOXHwu5dVev9c3yKjXbp1hBAPvsZ6J2HMj1wWLnfdC3-8WynGeypbRX1A1Gh7hmn8eUVQWKKEPZ4d7Fcm2DKpnTONZr7LHic0oo3WT/s72-w640-c-h640/IMG_20210219_103622_622.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/02/dube-atupia-akiwa-na-upara-wakeazam.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/02/dube-atupia-akiwa-na-upara-wakeazam.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy