OFISA Habari wa Simba Haji Manara amesema kuwa anawashukuru mashabiki, wachezaji, viongozi pamoja na wadau ambao walikuwa wakifanya naye kaz...
OFISA Habari wa Simba Haji Manara amesema kuwa anawashukuru mashabiki, wachezaji, viongozi pamoja na wadau ambao walikuwa wakifanya naye kazi wakati alipokuwa Ofisa Habari wa Simba kabla ya kubwanga manyanga na kuwabwaga mashabiki kupitia Kundi la Simba HQ.
Credit: SALEH JEMBE
Please subscribe to get all sports news instantly
Manara amesema kuwa sababu kubwa ya yeye kuondoka Simba ni mbili ambapo ya kwanza ni suala la biashara na ile ya pili ni suala la umaarufu.
Credit: SALEH JEMBE
Please subscribe to get all sports news instantly
COMMENTS