WATATU WA STARS HATIHATI KUIKOSA MALAWI JUNI 13
HomeMichezo

WATATU WA STARS HATIHATI KUIKOSA MALAWI JUNI 13

 NYOTA watatu wa timu ya taifa ya Tanzania bado hawajajiunga na timu hiyo ambayo inaendelea na maandalizi kwa ajili ya mchezo wa kirafiki ...

BEKI MCONGO ALIYEJIFUNGA YANGA MIAKA MIWILI ATAJA NAMBA YA JEZI ATAKAYOVAA
KIUNGO MZIMBABWE MIKONONI MWA SIMBA, INJINIA AIBUKIA MALI
HARRY KANE AAMBIWA ANAZINGUA TIMU YA TAIFA

 NYOTA watatu wa timu ya taifa ya Tanzania bado hawajajiunga na timu hiyo ambayo inaendelea na maandalizi kwa ajili ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Malawi.

Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa Juni 13, Uwanja wa Mkapa majira ya saa 10:00 jioni hivyo kunahatihati nyota hao wakakosekana kwenye mchezo huo.

Nyota hao ni pamoja na David Bryson mali ya Azam FC ambaye anasumbuliwa na majeruhi na nafasi yake imechukuliwa na nyota Yohana Nkomola, mwingine ni Simon Msuva ambaye yupo Morocco.

Pia nahodha Mbwana Samatta bado hajaripoti kambini kwa muda wote ambao kikosi kimeanza maandalizi kwa ajili ya mchezo huo chini ya Kocha Mkuu, Kim Poulsen.

Kwa mujibu wa habari kutoka ndani ya kambi ya Stars, hatma ya nyota hao ipo mikononi mwa Kocha Mkuu, Poulsen ambaye atajua jambo la kufanya juu ya nyota hao.

Nyota wengine ambao tayari wameripoti kambini na wameanza mazoezi ni pamoja na Dickson Job, Abdul Suleiman, Dickson Kibabage, Feisal Salum, Juma Kaseja, Mzamiru Yassin, John Bocco, Edward Manyama. 




Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: WATATU WA STARS HATIHATI KUIKOSA MALAWI JUNI 13
WATATU WA STARS HATIHATI KUIKOSA MALAWI JUNI 13
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEi0VorCNlRswGfT23GRwCvABSEBzBQYDCgut_WE_dRck4l8TRC4Z2zPIaQJMSvR2fEckn7SpxeflFVC5yasXgBBAnpQnnlk2G_dntXUPXMYg2lydZ26SUh1l5r9_tMTZ4YgF4XfgWasefLT/w640-h426/tanfootball-197805534_1083208345541071_8969348852461814308_n.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEi0VorCNlRswGfT23GRwCvABSEBzBQYDCgut_WE_dRck4l8TRC4Z2zPIaQJMSvR2fEckn7SpxeflFVC5yasXgBBAnpQnnlk2G_dntXUPXMYg2lydZ26SUh1l5r9_tMTZ4YgF4XfgWasefLT/s72-w640-c-h426/tanfootball-197805534_1083208345541071_8969348852461814308_n.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/06/watatu-wa-stars-hatihati-kuikosa-malawi.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/06/watatu-wa-stars-hatihati-kuikosa-malawi.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy