NYOTA HAWA WATATU WA YANGA KUIKOSA TANZANIA PRISONS LEO
HomeMichezo

NYOTA HAWA WATATU WA YANGA KUIKOSA TANZANIA PRISONS LEO

  W ACHEZAJI  watatu  tegemeo  hivi sasa wa Yanga  viungo Mukoko  Tonombe, Feisal  Salum ‘Fei Toto’ na  mshambuliaji Michael  Sarpong wan...

SIMBA YAINGIA MAKUBALIANO NA VUNJA BEI LEO
SIMBA WATAMBA… HAKUNA YANGA ANAYEINGIA FIRST ELEVEN SIMBA
JOSE MOURINHO ASEPA SPURS BILA TAJI LOLOTE LILE

 


WACHEZAJI watatu tegemeo hivi sasa wa Yanga viungo Mukoko Tonombe, Feisal Salum ‘Fei Toto’ na mshambuliaji Michael Sarpong wanatarajiwa kuukosa mchezo wa leo Ijumaa dhidi ya Tanzania Prisons.

 

Timu hizo zinatarajiwa kujitupa kwenye Uwanja wa Nelson Mandela, mkoani Rukwa katika mchezo wa Hatua ya 16 Bora ya Kombe la FA.


Kwa mujibu wa taarifa ambazo imezipata Championi Ijumaa, wachezaji hao wataukosa mchezo huo kutokana na kutumikia adhabu ya kadi za njano.

 

Mtoa taarifa huyo kutoka ndani ya benchi hilo la ufundi ameeleza kuwa nyota hao wanatumikia adhabu ya kadi tatu za njano walizozipata katika michezo iliyopita.


Alisema kuwa Kocha Mkuu wa Yanga, Nasreddine Nabi anawaandaa wachezaji wengine watakaocheza nafasi zao katika kuelekea mchezo huo.


“Katika kuelekea mchezo wetu wa kesho (leo) tunatarajia kuwakosa wachezaji wetu watatu muhimu ambao ni Tonombe, Fei Toto na Sarpong.


“Watakosekana kutokana na kutumikia adhabu ya kadi tatu za njano walizozipata katika michezo iliyopita ukiwemo uliopita dhidi ya Azam FC.

 

"Kocha hivi sasa yupo katika mipango ya kuwaandaa wachezaji wengine watakaocheza mchezo huo dhidi ya Prisons,” alisema mtoa taarifa.


Alipotafutwa Mkuu wa Kitengo cha Habari cha Yanga, Hassan Bumbuli alithibisha kukosekana kwa wachezaji akisema: “Ni kweli wachezaji hao hawatakuwa sehemu ya mchezo huo kutokana na kutumikia adhabu ya kadi za njano.”



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: NYOTA HAWA WATATU WA YANGA KUIKOSA TANZANIA PRISONS LEO
NYOTA HAWA WATATU WA YANGA KUIKOSA TANZANIA PRISONS LEO
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgP8cHwKK72VdIKvaTFFOz87JJsXF2ySxIXVqEUCstU2CmLznasFKaxKH-M5UfjaCHCvf8L_Iedr-hEVL1C0Hv42-lDQj1x3wB_BHfIVKwbOrfHLG5msvHvyswcuBYP_fiGqHdhvbEHxHqe/w640-h640/Fei+tena.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgP8cHwKK72VdIKvaTFFOz87JJsXF2ySxIXVqEUCstU2CmLznasFKaxKH-M5UfjaCHCvf8L_Iedr-hEVL1C0Hv42-lDQj1x3wB_BHfIVKwbOrfHLG5msvHvyswcuBYP_fiGqHdhvbEHxHqe/s72-w640-c-h640/Fei+tena.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/04/nyota-hawa-watatu-wa-yanga-kuikosa.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/04/nyota-hawa-watatu-wa-yanga-kuikosa.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy