SIMBA YAPANIA KUFANYA MAAJABU KIMATAIFA, KUWAJUA WAPINZANI WAO LEO
HomeMichezo

SIMBA YAPANIA KUFANYA MAAJABU KIMATAIFA, KUWAJUA WAPINZANI WAO LEO

  K IUNGO  mshambuliaji wa  Simba, Larry Bwalya  amesema kuwa timu  hiyo ina nafasi kubwa ya  kufanya maajabu katika  Hatua ya Robo Fainal...

VIDEO:FEISAL ATAJA WALICHOAMBIWA NA MWALIMU, ATOA SHUKRANI
VIDEO:KOCHA WA MADAGSCAR ATAJA SABABU YA KUPOTEZA,MIPANGO YAO
CHEKI UZI MPYA WA AZAM FC MSIMU WA 2021/22

 KIUNGO mshambuliaji wa Simba, Larry Bwalya amesema kuwa timu hiyo ina nafasi kubwa ya kufanya maajabu katika Hatua ya Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika ambayo inatarajiwa kupangwa leo Ijumaa.

 

Bwalya alijiunga na Simba mwanzoni mwa msimu huu amekuwa ni chaguo la kwanza la Kocha Mkuu, Didier Gomes, raia wa Ufaransa.

 

Akizungumza na Championi Ijumaa kuelekea kwa droo hiyo ambapo Simba ndiyo itajua mpinzani wake, Bwalya alisema: â€œImekuwa heshima kwangu na timu pia kuona tunafanikiwa kutinga hatua ya robo fainali katika michuano ya kimataifa.


“Kwa sasa tunasubiri ratiba na timu ambayo tutacheza nayo katika hatua ya robo fainali ya michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika.

 

“Bado tunayo nafasi ya kutwaa ubingwa wa michuano hiyo kutokana na maandalizi mbalimbali ambayo tunaendelea kufanya, “ alisema Bwalya.

 

Katika droo ya leo Simba inatarajiwa kupangwa na wapinzani kati ya hawa, CR Belouizdad au MC Alger zote za Algeria au Kaizer Chiefs ya Afrika ya Afrika Kusini inatarajiwa kupangwa saa 9:00 alasiri.



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: SIMBA YAPANIA KUFANYA MAAJABU KIMATAIFA, KUWAJUA WAPINZANI WAO LEO
SIMBA YAPANIA KUFANYA MAAJABU KIMATAIFA, KUWAJUA WAPINZANI WAO LEO
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgSL4C5MLzs57s8ndmQLwnz7g97lSY5A6874MwZ_PHfBtbOsXj83dJyUHIYmdv9E4jlNN_JGZsA9YmYH5y9rmx6NbZ0ah6VgWBs4MCSrXkaNEzYtkUgyqMPEPv62dREpC8P-drw3cYjPVZE/w640-h426/Bwalya+v+AS+Vita.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgSL4C5MLzs57s8ndmQLwnz7g97lSY5A6874MwZ_PHfBtbOsXj83dJyUHIYmdv9E4jlNN_JGZsA9YmYH5y9rmx6NbZ0ah6VgWBs4MCSrXkaNEzYtkUgyqMPEPv62dREpC8P-drw3cYjPVZE/s72-w640-c-h426/Bwalya+v+AS+Vita.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/04/simba-yapania-kufanya-maajabu-kimataifa.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/04/simba-yapania-kufanya-maajabu-kimataifa.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy