BERNARD Morrisonn kiungo mshambuliaji wa Simba ni miongoni mwa nyota ambao wameanza kufanya kazi na mrithi wa mikoba ya Sven Vandenbroeck,...
BERNARD Morrisonn kiungo mshambuliaji wa Simba ni miongoni mwa nyota ambao wameanza kufanya kazi na mrithi wa mikoba ya Sven Vandenbroeck, Didier Gomes.
Raia huyo wa Ufaransa tayari ameshaanza kazi ndani ya Uwanja wa Mo Simba Arena kwa ajili ya kukisuka kikosi hicho kwa ajili ya kuelekea michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika ikiwa Simba imetinga hatua ya makundi.
Nyota wengine ambao wameanza kazi na kocha huyo ambaye amesaini dili la miaka miwili ni pamoja na:-
Thadeo Lwanga
Rally Bwalya
David Kameta
Perfect Chikwende
Miraj Athuman
Ibrahim Ajibu
Mzamiru Yassin
Kened Juma
Gadiel Michael
Chris Mugalu
Ally Salim
Mohamed Hussein
Junior Lokosa
Francis Kahata
Hassan Dilunga
Beno Kakolanya
Credit: SALEH JEMBE
Please subscribe to get all sports news instantly
COMMENTS