Shilole akizidi kupagawisha mashabiki wake. “Jamani hebu mwangalieni Shilole vitendo anavyovifanya...
Shilole akizidi kupagawisha mashabiki wake.
“Jamani
hebu mwangalieni Shilole vitendo anavyovifanya pale jukwaani yaani
dah, anajua kabisa hii shoo hata watoto wadogo wapo, hapo sijui
anawafundisha nini, mimi sijapenda kabisa,” alisikika akilalamika
shabiki mmoja.
COMMENTS