Mke wa Waziri Mkuu, Mama Tunu Pinda, akiongea na wanawake(hawapo pichani). ...(Katikati) akiwa na Mkuu wa Wilaya ya Mufindi, Mboni Mahit...

Mke wa Waziri Mkuu, Mama Tunu Pinda, akiongea na wanawake(hawapo pichani).

...(Katikati) akiwa na Mkuu wa Wilaya ya Mufindi, Mboni Mahita (kulia) na baadhi ya wanawake wengie wakikata keki.

...Akitoka kumtunza msanii wa THT, Hellen George ‘Ruby’.

Mjasiriamali Maida Waziri ambaye pia ni mhandisi.

Dk. Joseph kutoka PSI akiongelea madhara ya kansa ya shingo ya kizazi kwa wanawake.

Msanii Nyota Waziri akitoa burudani kwa wanawake.
 |
Tunu Pinda akiwaongoza wanawake kucheza mduara. |
WANAWAKE nchini wametakiwa kubadilishana uzoefu kuhusu masuala ya kumkomboa mwanamke ili asiwe tegemezi katika jamii.Hayo yalisemwa na mke wa Waziri Mkuu, Tunu Pinda, alipokuwa mgeni rasmi katika siku ya fursa kwa wanawake iliyofanyika jana usiku katika ukumbi wa Mlimani City jijni Dar.
Tukio hilo ambalo lilikuwa linahusiana na Siku ya Wanawake Duniani inayoadhimishwa leo, wanawake pia walipata fursa ya kupima kansa ya shingo ya kizazi kutoka kwa madaktari bingwa wa PSI.
COMMENTS