MAJANGA: MLEMAVU ATUMIA MGUU WAKE WA BANDIA KUUZA DAWA ZA KULEVYA! SHUHUDIA PICHA HAPA!
HomeMatukio

MAJANGA: MLEMAVU ATUMIA MGUU WAKE WA BANDIA KUUZA DAWA ZA KULEVYA! SHUHUDIA PICHA HAPA!

Kamishna Kova akiwa na RPC mpya wa Temeke, Kihenya Kihenya. Kamishna Kova akiwa kashika moja ya dawa ya kulevya huku afande A...

KUTANA NA MTAALAMU ALIYEFANIKIWA KUANZISHA REDIO YAKE MWENYEWE
BREAKING NEWS: WATU 10 WAFARIKI DUNIA BAADA YA BASI LA NGORIKA NA RATCO KUGONGANA USO KWA USO
INASIKITISHA: WA 3 WALIOFUNGIWA NDANI MIAKA 10 NA MAMA YAO MMOJA AFARIKI DUNIA










Kamishna Kova akiwa na RPC mpya wa Temeke, Kihenya Kihenya.


Kamishna Kova akiwa kashika moja ya dawa ya kulevya huku afande Alfred akiwa kashika mguu huo wa bandia anaotumia mlemavu.

Kamishna Suleiman Kova akionesha namna mguu huo wa mtu mwenye ulemavu unavyotumika kutunzia dawa za kulevya.KIJANA mmoja ambaye ni mlemavu wa mguu, Said Tindwa (36), mkazi wa Vijibweni Kigamboni jijini Dar, anashikiliwa na Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam kwa kutumia mguu wake wa bandia kwa ajili ya kutunzia na kuuza dawa za kulevya.

Akizungumza na waandishi wa habari, Kamishna wa Jeshi la Polisi Kanda Maalum, Suleiman Kova alisema mlemavu huyo alitiwa nguvuni Agosti 1 mwaka huu kufuatia mtego uliowekwa na jeshi hilo.
Alisema uchunguzi wa awali unaonesha kuwa mtuhumiwa huyo amekuwa akitumia mbinu ya kuziuza dawa hizo kwa kuzificha kwenye mguu wake wa bandia.
Aidha Kova alisema kuwa dawa alizokuwa akiziuza mlemavu huyo ni zile za viwandani kama vile cocaine, heroin na wakati mwingine bangi.
“Katika mtego maalum uliowekwa na askari wa upelelezi ndipo mlemavu huyo alikamatwa akiuza dawa hizo kwa wateja wake baada ya kuzitoa alikozificha ambapo ni ndani ya mguu huo wa bandia” alisema Kova.
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: MAJANGA: MLEMAVU ATUMIA MGUU WAKE WA BANDIA KUUZA DAWA ZA KULEVYA! SHUHUDIA PICHA HAPA!
MAJANGA: MLEMAVU ATUMIA MGUU WAKE WA BANDIA KUUZA DAWA ZA KULEVYA! SHUHUDIA PICHA HAPA!
http://2.bp.blogspot.com/-V4_TjzF6AW4/U-BCxrTWxyI/AAAAAAAAfcU/t8bs4kv9c6g/s640/DDDDA.JPG
http://2.bp.blogspot.com/-V4_TjzF6AW4/U-BCxrTWxyI/AAAAAAAAfcU/t8bs4kv9c6g/s72-c/DDDDA.JPG
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2015/02/majanga-mlemavu-atumia-mguu-wake-wa.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2015/02/majanga-mlemavu-atumia-mguu-wake-wa.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy