Edgar Lungu ashinda urais Zambia: aapishwa
HomeHabariKimataifa

Edgar Lungu ashinda urais Zambia: aapishwa

Rais mpya wa Zambia, Edgar Lungu, ameapishwa baada ya kumshinda mwenzake kwa kura chache. Bwana Lungu aliwaambia maelfu ya wafuasi w...

Premier League questions: How do you stop Alexis Sanchez? Can Stoke dent Manchester United’s title hopes?
Mwaka Mpya: Maafa China 35 wafariki>> Angalia kiundani
KUNDI LA ISIS LAWACHINJA WAPIGANAJI WAKE ZAIDI YA 120 KWA KUJARIBU KUTOROKA KAMBINI!!


Rais mpya wa Zambia, Edgar Lungu, ameapishwa baada ya kumshinda mwenzake kwa kura chache.

Edgar Lungu atakuwa rais  hadi 2016 utakapofanyika uchaguzi mkuu
Bwana Lungu aliwaambia maelfu ya wafuasi wake katika sherehe hiyo kwenye uwanja wa michezo mjini Lusaka, kwamba yeye ni mtumishi wa watu.

Alipata asili-mia-48 ya kura, ikilinganishwa na asili-mia-47 za mgombea wa upinzani, Hakainde Hichilema.

Tume ya uchaguzi imekanusha malalamiko ya upinzani kwamba kumefanywa udanganyifu.
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: Edgar Lungu ashinda urais Zambia: aapishwa
Edgar Lungu ashinda urais Zambia: aapishwa
http://ichef.bbci.co.uk/news/ws/304/amz/worldservice/live/assets/images/2015/01/25/150125123301_bbc_304x171_bbc_nocredit.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2015/01/rais-mpya-wa-zambia-aapishwa.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2015/01/rais-mpya-wa-zambia-aapishwa.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy