Msamaha Wa Matibabu Hutolewa Kwa Watu Wasio Na Uwezo – Dkt. Mollel
HomeHabari

Msamaha Wa Matibabu Hutolewa Kwa Watu Wasio Na Uwezo – Dkt. Mollel

Na WAF – Bungeni, Dodoma. Licha ya matibabu ya magonjwa yasiyoambukiza kuwa na gharama kubwa na yana hitaji tiba wakati wote, Serikali i...

Mo Dewji Foundation Wametangaza Ufadhili wa Masomo Kwa Wanafunzi wa Vyuo 2021/2022.....Bofya Hapa
Ujerumani Yatia Mguu Kumpiga Jeki Rais Samia Kimaendeleo
Waliovujisha Mitihani ya Utabibu Wizara Ya Afya Kuchukuliwa Hatua Kali


Na WAF – Bungeni, Dodoma.
Licha ya matibabu ya magonjwa yasiyoambukiza kuwa na gharama kubwa na yana hitaji tiba wakati wote, Serikali imekuwa ikitoa msamaha wa matibabu kwa wagonjwa wanaougua magonjwa yasiyoambukiza ambao wamethibitika kuwa hawana uwezo wa kugharamia matibabu yao kwa mujibu wa Sera ya Afya.

Hayo yamesemwa na Naibu Waziri wa Afya Mhe. Dkt. Godwin Mollel alipokuwa akijibu swali lililoulizwa na Mbunge wa Jimbo la Chaani, Mheshimiwa Juma Usonge Hamad aliyehoji Serikali ina mpango gani wa kutoa matibabu bure kwa maradhi yasiyoambukiza kama Kisukari, Presha na Shinikizo la Damu.

Hata hivyo Dkt Mollel amesema kuwa Serikali ipo katika hatua za mwisho za ukamilishaji wa Muswada wa Bima ya Afya kwa Wote ambao utawezesha wananchi wote kupata huduma za afya katika vituo vyote vya kutolea huduma za afya nchini.

Akijibu Swali la nyongeza lilioulizwa na Mheshimiwa Usonge aliyehoji usumbufu wanaopata wazee pindi wanapoenda hospitalini kupata huduma za matibabu, Dkt. Mollel ameendelea kuwasisitiza wataalam kufuata maagizo yanayotolewa na viongozi ikiwemo kuhakikisha Wazee wanapata matibabu bure katika vituo vya kutolea huduma za afya.

“Nitumie fursa hii kutoa agizo kwa Waganga wote wa Mikoa na Wilaya, suala la matibabu kwa wazee ni bure na wanatakiwa kuwa na dirisha lao la kupata huduma, hatutegemei kusikia tena malalamiko ya wazee wanapitia mlolongo mrefu wa kupata huduma za matibabu” amesisitiza Dkt. Mollel.


Credit: MPEKUZI

Thanks for your time please share with your friends
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: Msamaha Wa Matibabu Hutolewa Kwa Watu Wasio Na Uwezo – Dkt. Mollel
Msamaha Wa Matibabu Hutolewa Kwa Watu Wasio Na Uwezo – Dkt. Mollel
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjk37MN_4OwPdaIp5botEvGp8e3-XYxQM1YMll-J6ryy8vcjSIIrVBxKuDk2LLLaE7fvcsPMaw3Vj61_OFuPjprHjNvee-vBv6JqqBjNUmm3ew99vOcIXzI3PJ43FVQtROOz3WhAkv6apokdydLVTwTpCmdUSUj4cXqh4rC1e4voFdPIL8f-LRsx3pHpQ/s16000/1.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjk37MN_4OwPdaIp5botEvGp8e3-XYxQM1YMll-J6ryy8vcjSIIrVBxKuDk2LLLaE7fvcsPMaw3Vj61_OFuPjprHjNvee-vBv6JqqBjNUmm3ew99vOcIXzI3PJ43FVQtROOz3WhAkv6apokdydLVTwTpCmdUSUj4cXqh4rC1e4voFdPIL8f-LRsx3pHpQ/s72-c/1.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2022/06/msamaha-wa-matibabu-hutolewa-kwa-watu.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2022/06/msamaha-wa-matibabu-hutolewa-kwa-watu.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy