KIJUNGU CHA ‘DEMU WA DIAMOND’ CHAMCHENGUA DIMPOZ
HomeGossip

KIJUNGU CHA ‘DEMU WA DIAMOND’ CHAMCHENGUA DIMPOZ

Umbile la mwanadada aliyefahamika kwa jina moja la Avril kutoka Kenya ambaye aliwahi kudaiwa kutoka kimapenzi na Mwanamuziki Nasibu Abdul ...

BELA: SITAKI TENA NDOA
AUNTY : MIMBA HAIJANIBADILI TABIA
WALIONASWA KWA MAPENZI YA JINSIA MOJA KUMBE WALIOANA



Umbile la mwanadada aliyefahamika kwa jina moja la Avril kutoka Kenya ambaye aliwahi kudaiwa kutoka kimapenzi na Mwanamuziki Nasibu Abdul ‘Diamond’, hivi karibuni lilionesha kumchengua msanii wa Bongo Fleva, Omari Faraji ‘Ommy Dimpoz’ baada ya kutupia picha inayomuonesha akikitolea macho kiwowowo cha demu huyo.



Msanii wa Bongo Fleva, Omari Faraji ‘Ommy Dimpoz’ akiwa na Mwanadada Avril kutoka Kenya.Ommy alifanya hivyo kupitia ukurasa wake wa Instragram baada kuiweka picha hiyo kisha kuanza kukisifia kijungu cha Avril kiasi cha kumfanya mmoja wa mashabiki wake atupie maoni akisema: “Unaonekana kaka wewe ni mgonjwa wa wanawake waliofungashia, ila huyu demu mkali.”


‘Ommy Dimpoz’ akitupia jicho kijungu cha Avril.Mbali na maoni hayo mengine yaliendelea kukichambua kiumbile kizuri alichonacho mwanadada huyo na Ommy alipopigiwa simu ili kuulizwa kilichomvutia kwa demu huyo na kama anataka kujiweka kwake alikuwa akikata.
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: KIJUNGU CHA ‘DEMU WA DIAMOND’ CHAMCHENGUA DIMPOZ
KIJUNGU CHA ‘DEMU WA DIAMOND’ CHAMCHENGUA DIMPOZ
http://api.ning.com/files/V7mcip*tK2QEkEoHdErlkcqgajQN0zXHaiolqYT4yYqRxezXZWHBybmMnuQGDCP2b9469ceRhgh6cNOrpQTu6*3HfbQwmrAh/Dimpoz.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2015/01/kijungu-cha-demu-wa-diamond-chamchengua.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2015/01/kijungu-cha-demu-wa-diamond-chamchengua.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy