BELA: SITAKI TENA NDOA
HomeGossip

BELA: SITAKI TENA NDOA

Na Shani Ramadhani/Uwazi   HATIMAYE Miss Ruvuma 2008 ambaye pia ni msanii wa muziki wa Bongo Fleva na filamu Bongo, Isabela Mpanda ‘Be...

Irene Uwoya:Siku Zote Niatamuheshimu Ray, Ni Mtu Muhimu Sana Kwangu
Davina Akiri Wasanii Kujiuza
Agness Masogange Aibu Tupu Afrika Kusini......Yadaiwa Maisha yake ni ya kujiuza kwa wanaume
Na Shani Ramadhani/Uwazi
 
HATIMAYE Miss Ruvuma 2008 ambaye pia ni msanii wa muziki wa Bongo Fleva na filamu Bongo, Isabela Mpanda ‘Bela’, ameweka wazi kuwa hataki tena ndoa.
Msanii wa muziki wa Bongo Fleva na filamu Bongo, Isabela Mpanda ‘Bela’.
Akizungumza na Uwazi, mwandishi wetu Bela alisema amefikia hatua hiyo baada ya kukaa kwa muda mrefu akisubiri ndoa bila mafanikio na maendeleo yoyote na kuishia kudharaulika katika jamii.
“Sitaki tena ndoa kwa sasa hivi ila ninachohitaji ni kupumzika, hata akitokea mtu siko tayari kwa sasa. Nilishasubiri sana ndoa mpaka hamu imeniisha,” alisema Bela.
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: BELA: SITAKI TENA NDOA
BELA: SITAKI TENA NDOA
http://api.ning.com:80/files/FXkXptW89jKMzIjeSyiVoFU*kIN988QrMmglKKIocC4GiuVc56tqK0OA-2fbBFgkxE7rP2k1FIrMyMHDfcUclBpgjblA4RKS/bella.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2015/01/bela-sitaki-tena-ndoa.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2015/01/bela-sitaki-tena-ndoa.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy