HomeHabariTop Stories

Christina Shusho aitambulisha brand yake mpya ya mavazi “Mama Mkwe Collection”

Mwimbaji wa nyimbo za Injili Christina Shusho ameitambulisha brand yake mpya ya mavazi iliyopewa jina la Mama Mkwe Collection ambayo imezind...

Mwimbaji wa nyimbo za Injili Christina Shusho ameitambulisha brand yake mpya ya mavazi iliyopewa jina la Mama Mkwe Collection ambayo imezinduliwa Usiku wa Leo na Rais Mstaafu wa awamu ya nne Jakaya Kikwete

Katika uzinduzi huo pia ametambulisha kampuni yake ya Duka la Nyuma ambalo litasaidia watu mbali Mbali kuweza kumiliki Nyumba kwa kulipia taratibu huku akimpongeza Rais Rasamia kumsaidia kupitia mkopo uliotolewa na serikali yake ndio umeweza kumsaidia yeye kufanya uwekezaje Mkubwa hivyo

“Nimeanza kuimba nikiwa na miaka 23, Nashukuru Mungu leo nina watoto na wajukuu, sijaja kuzindua album, Nimekuja kutangaza mavazi ya mwanamke wa Kiafrika,

“Mimi nimnufaika kwanza wa Mikopo, nilichukua mara ya kwanza na walipoona narejesha vizuri Nikachukua tena, baada ya hapo nilikaa chini na menejimenti yangu tukapata wazo na leo tunazindua Mama Mkwe Collection ambayo ni mavazi na Duka la Nyumba, hivyo tunamshukuru sana Mheshimiwa Rais Samia Suluhu kutuwezesha kupitia mikopo..” Christina Shusho

Katika uzinduzi huo walikuwepo watumishi wa Mungu kama Mwamposa, Wasanii wa filamu kama Irene Uwoya, Steve Nyerere, Wasanii wa Bongofleva kama Rayvanny, Msechu Bendi na wasanii wa Injili kama Bella Kombo, Paul Clement na wengine.

The post Christina Shusho aitambulisha brand yake mpya ya mavazi “Mama Mkwe Collection” first appeared on Millard Ayo.



from Millard Ayo https://ift.tt/fjQMyTc
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: Christina Shusho aitambulisha brand yake mpya ya mavazi “Mama Mkwe Collection”
Christina Shusho aitambulisha brand yake mpya ya mavazi “Mama Mkwe Collection”
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2025/02/christina-shusho-aitambulisha-brand.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2025/02/christina-shusho-aitambulisha-brand.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy