HomeHabariTop Stories

Waziri Mkuu wa Canada Justin Trudeau ajiuzulu

Utawala wa Trudeau, ambaye amekuwepo madarakani tangu mwaka 2015, umekumbwa na ‘sintofahamu’ inayotokana na kukosekana kwa imani juu ya uong...

Kisa cha kwanza cha Mpox chagunduliwa Uingereza
Habari kubwa Magazetini Kenya leo October 31, 2024
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo October 31, 2024

Utawala wa Trudeau, ambaye amekuwepo madarakani tangu mwaka 2015, umekumbwa na ‘sintofahamu’ inayotokana na kukosekana kwa imani juu ya uongozi wake, hasa baada ya kujiuzulu kwa aliyekuwa Waziri wa Fedha wa nchi hiyo mwaka 2024.

Akizungumza siku ya Jumatatu, Waziri Mkuu wa Canada Justin Trudeau, amemuomba Rais wa Chama Cha Liberal cha nchini humo kuanza mchakato wa kumtafuta mbadala wake.

“Nina nia ya kujiuzulu nafasi ya Uwaziri Mkuu na kiongozi wa chama,” alisema Trudeau ambaye amekuwepo madarakani toka mwaka 2015 katika mkutano wake na waandishi wa habari.

Kabla ya kutoa tamko hilo la kujiuzulu, chanzo kimoja kilidokeza kuwa Bunge la nchi hiyo litaahirishwa hadi Machi 24, licha ya kupangwa kuanza tena Januari 27.

Muda huo unatarajiwa kutoa nafasi kwa chama cha Liberal kufanya uchaguzi wa viongozi wa chama hicho.

Wakati akitangaza nia yake, Trudeau alisisitiza kuwa “vita vya ndani ya chama cha Liberal” ni ishara kuwa yeye “si mtu sahihi katika uchaguzi ujao”.

Utawala wa Trudeau, ambaye amekuwepo madarakani tangu mwaka 2015, umekumbwa na ‘sintofahamu’ inayotokana na kukosekana kwa imani juu ya uongozi wake, hasa baada ya kujiuzulu kwa aliyekuwa Waziri wa Fedha wa nchi hiyo, Chrystia Freeland mwaka 2024.

Trudeau aliingia madarakani mwaka 2015, miaka kumi baada ya utawala wa chama cha Consrvative, akijozoelea sifa kwa jitihada zake za kuirudisha Canada katika enzi yake ya liberali.

The post Waziri Mkuu wa Canada Justin Trudeau ajiuzulu first appeared on Millard Ayo.



from Millard Ayo https://ift.tt/B6Hh9vZ
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: Waziri Mkuu wa Canada Justin Trudeau ajiuzulu
Waziri Mkuu wa Canada Justin Trudeau ajiuzulu
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2025/01/waziri-mkuu-wa-canada-justin-trudeau.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2025/01/waziri-mkuu-wa-canada-justin-trudeau.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy