Wanawake Wafanyabiashara na Wafanyakazi wamekutana na kujadili kukuza uchumi wao
HomeHabariTop Stories

Wanawake Wafanyabiashara na Wafanyakazi wamekutana na kujadili kukuza uchumi wao

Wanawake na Wafanyakazi wa mkoa wa Dar es salaam kupitia wilaya ya Ubungo wametakiwa kuendelea kujiunga kwenye Vyama mbalimbali vyenye kutoa...

Wanawake na Wafanyakazi wa mkoa wa Dar es salaam kupitia wilaya ya Ubungo wametakiwa kuendelea kujiunga kwenye Vyama mbalimbali vyenye kutoa fursa mbalimbali ikiwepo kupata elimu namna ya kujikomboa na kuweza kutatua changamoto mbalimbali zikiwemo za kiuchumi na kijamii.

Kauli hiyo imesemwa leo na Mwenyekiti wa Jukwaa la kuwawezesha wanawake kiuchumi wilaya ya Ubungo na Makamu Mwenyekiti wa Jukwaa la kuwawezesha wanawake kiuchumi mkoa wa Dar es Salaam Hidaya Njaidi wakati wa kongamano la Usiku wa Mwanamke ambapo Wanawake Wafanyabiashara na Wafanyakazi wamekutana na kujadiliana namna ya kusonga mbele kiuchumi.

“Ubungo tuna wanachama wengi sana ambao wamejiunga na tunaamini kuna wengine wataendelea kujiunga nitoe wito kwenu wanawake wafanyabiashara na Wafanyakazi muendelee kujiunga kwenye vyama venye tija kwa lengo la kutatua changamoto zenu za kiuchumi na kijamii na kuondokana na mikopo isiyoyalazima” Amesema Makamu Mwenyekiti wa Jukwaa la kuwawezesha wanawake kiuchumi mkoa wa Dar es Salaam.

Hata hivyo naye Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Vijana Right of Success, Zena Mlokosi amesema lengo kuu ni kuendeleza Umoja kwa Wanawake Wafanyabiashara na Wafanyakazi kwa kusaidia waliokwama kwani Wanawake zaidi ya 250 tumekutana na kufundishana namna ya kujikomboa kiuchumi kupitia njia ya ujasiriamali na uwekezaji.

The post Wanawake Wafanyabiashara na Wafanyakazi wamekutana na kujadili kukuza uchumi wao first appeared on Millard Ayo.



from Millard Ayo https://ift.tt/vWcZrAu
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: Wanawake Wafanyabiashara na Wafanyakazi wamekutana na kujadili kukuza uchumi wao
Wanawake Wafanyabiashara na Wafanyakazi wamekutana na kujadili kukuza uchumi wao
https://millardayo.com/wp-content/uploads/2024/12/efb7bdc4-68a2-4706-a79c-d8d4284db826-950x534.jpeg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2024/12/wanawake-wafanyabiashara-na-wafanyakazi.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2024/12/wanawake-wafanyabiashara-na-wafanyakazi.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy