“Nyumba za watumishi wa CCM zikamilike Kwa wakati”MCC Rajabu
HomeHabariTop Stories

“Nyumba za watumishi wa CCM zikamilike Kwa wakati”MCC Rajabu

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Tanga, MCC Rajabu Abdalah, ametoa agizo kwa kila wilaya kuhakikisha inatekeleza mpango wa ku...

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Tanga, MCC Rajabu Abdalah, ametoa agizo kwa kila wilaya kuhakikisha inatekeleza mpango wa kujenga nyumba za watumishi wa chama na jumuiya zake kwa mwaka huu.

Akizungumza wilayani Pangani alipokuwa akikagua ujenzi wa nyumba ya Katibu wa CCM wa wilaya hiyo pamoja na jumuiya zake, Mwenyekiti Rajabu alisema lengo la ziara yake ni kuona maendeleo ya miradi ya chama na serikali, pamoja na changamoto zinazohitaji ufumbuzi.

Akitilia mkazo umuhimu wa ubunifu miongoni mwa viongozi wa chama, alisema:

“Ukiwa kiongozi lazima uwe mbunifu. Ndani ya chama tunahitaji watu wabunifu. Mimi nimeshaongoza njia, siyo unafika mahali unauliza hapa tunakwenda wapi ikiwa umeshasafishiwa njia.”

Kwa mujibu wa mpango huo, kila wilaya ya kichama katika Mkoa wa Tanga inapaswa kujenga nyumba nne: nyumba ya Katibu wa CCM wa wilaya, Katibu wa UVCCM, Katibu wa UWT, na Katibu wa Wazazi. Kwa wilaya tisa za Mkoa wa Tanga, jumla ya nyumba zinazopaswa kujengwa ni 36.

 

Ziara ya Mwenyekiti Rajabu katika wilaya zote za mkoa huo ni sehemu ya ufuatiliaji wa utekelezaji wa miradi ya maendeleo, ikiwa ni mwendelezo wa maadhimisho ya kuzaliwa kwa CCM.

The post “Nyumba za watumishi wa CCM zikamilike Kwa wakati”MCC Rajabu first appeared on Millard Ayo.



from Millard Ayo https://ift.tt/VOUKqmY
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: “Nyumba za watumishi wa CCM zikamilike Kwa wakati”MCC Rajabu
“Nyumba za watumishi wa CCM zikamilike Kwa wakati”MCC Rajabu
https://millardayo.com/wp-content/uploads/2025/01/IMG-20250131-WA0002-950x599.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2025/01/nyumba-za-watumishi-wa-ccm-zikamilike.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2025/01/nyumba-za-watumishi-wa-ccm-zikamilike.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy