LEO NI VITA YA WANA MBEYA KUPAMBANA KUJINASUA NAFASI ZA CHINI
HomeMichezo

LEO NI VITA YA WANA MBEYA KUPAMBANA KUJINASUA NAFASI ZA CHINI

  KIKIWA kimejiwekea ngome nafasi ya 17 baada ya kucheza jumla ya mechi 25 na pointi zake 21 kikosi cha Ihefu FC leo kina kazi ya kusaka ...

KIKOSI CHA YANGA KURUDI DAR LEO
GADIEL ANAWEZA KUBAKI SIMBA, AJIBU NI PASUA KICHWA
ISHU YA MILIONI 40 PAMOJA NA KUZIDIWA MBINU, YANGA WATOA TAMKO

 


KIKIWA kimejiwekea ngome nafasi ya 17 baada ya kucheza jumla ya mechi 25 na pointi zake 21 kikosi cha Ihefu FC leo kina kazi ya kusaka pointi tatu mbele ya Mbeya City.

Timu zote mbili maskani yao ni Mbeya na zinapambana kuweza kutafuta nafasi ya kubaki kwenye ligi kutokana na matokeo yao kuwa ya kususua msimu huu wa 2020/21.

Mbeya City wao wapo nafasi ya 16 baada ya kucheza jumla ya mechi 24 kibindoni wana pointi 21 hivyo leo atakayesepa na pointi tatu anaweza kujiondoa kwenye nafasi aliyopo kwa sasa.
 
 Ihefu FC mchezo wake uliopita ilitoka kulazimisha sare ya kufungana bao 1-1 dhidi ya Namungo FC,  Uwanja wa Majaliwa.

Leo Aprili 15 ina kazi ya kusaka pointi tatu mbele ya Mbeya City, Uwanja wa Highland ambayo nayo pia ilitoka kugawana pointi mojamoja na Kagera Sugar, kwa sare ya bila kufungana Uwanja wa Sokoine, Mbeya.

Kocha wa Ihefu, Zuber Katwila amesema kuwa ushindani ni mkubwa na vijana wake amewaambia wajiamini ili wapate pointi tatu.

Hivyo leo wanaume 22 watakuwa kwenye vita ya Mbeya kupambana kujinasua kutoka nafasi za chini.


Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: LEO NI VITA YA WANA MBEYA KUPAMBANA KUJINASUA NAFASI ZA CHINI
LEO NI VITA YA WANA MBEYA KUPAMBANA KUJINASUA NAFASI ZA CHINI
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjibt8a-Xa9_lF8gNlH3QAwMG12TJ-tcu3qlhMldL57hBEHJEnbvXU0k8fbChY54piSXvQxQy4KWDigtpZ_P2t2t8kvsDdTVFczYVkBQDwRbf42qDl7bwnx4WHAxHeStzV686rCaiJ_cK4c/w546-h640/IMG_20210415_060819_299.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjibt8a-Xa9_lF8gNlH3QAwMG12TJ-tcu3qlhMldL57hBEHJEnbvXU0k8fbChY54piSXvQxQy4KWDigtpZ_P2t2t8kvsDdTVFczYVkBQDwRbf42qDl7bwnx4WHAxHeStzV686rCaiJ_cK4c/s72-w546-c-h640/IMG_20210415_060819_299.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/04/leo-ni-vita-ya-wana-mbeya-kupambana.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/04/leo-ni-vita-ya-wana-mbeya-kupambana.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy