Polisi waingia nyumbani kwa Nabii GeorDavie,wakabidhiwa gari ya Million 30 aliyoitengeneza
HomeHabariTop Stories

Polisi waingia nyumbani kwa Nabii GeorDavie,wakabidhiwa gari ya Million 30 aliyoitengeneza

Nabii Mkuu Dkt GeorDavie amekabidhi gari moja la mkuu wa kituo cha polisi Tengeru kati ya mawili anayoyatengeneza kwa jeshi la polisi Mkoani...

Nabii Mkuu Dkt GeorDavie amekabidhi gari moja la mkuu wa kituo cha polisi Tengeru kati ya mawili anayoyatengeneza kwa jeshi la polisi Mkoani Arusha kwa lengo la kupambana na uhalifu nakuimarisha ulinzi huku akitarajia kujenga kituo cha polisi Moivo katika kata ya Sekei Mkoani Arusha

Afisa mnadhimu wa polisi Mkoa Kamishna msaidizi wa polisi Debora Lukololo akimuwakilisha Kamanda wa polisi Mkoani Arusha amesema gari hiyo itasaidia kwa kiwango kikubwa huku akiahidi kuwakilisha salamu za pongez kwa Mkuu wa Jeshi la polisi Nchini kufuatia msaada huo

Mhandisi Godluck Mfinanga akimuwakilisha Nabii Mkuu Dkt GeorDavie amemuambia Mkuu wa wilaya ya Arumeru Amiri Mkalipa kwamba gari hiyo imekamilika kwa silimia mia moja na iko tayar kwa ajil ya kazi na imegharimu million 30 katika matengenezo

 

 

The post Polisi waingia nyumbani kwa Nabii GeorDavie,wakabidhiwa gari ya Million 30 aliyoitengeneza first appeared on Millard Ayo.



from Millard Ayo https://ift.tt/zWZ3Bj7
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: Polisi waingia nyumbani kwa Nabii GeorDavie,wakabidhiwa gari ya Million 30 aliyoitengeneza
Polisi waingia nyumbani kwa Nabii GeorDavie,wakabidhiwa gari ya Million 30 aliyoitengeneza
https://millardayo.com/wp-content/uploads/2024/11/IMG-20241102-WA0008-950x534.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2024/11/polisi-waingia-nyumbani-kwa-nabii.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2024/11/polisi-waingia-nyumbani-kwa-nabii.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy