Hapi awaonya viongozi wasio wajibika,ataka wasilaumu chama
HomeHabariTop Stories

Hapi awaonya viongozi wasio wajibika,ataka wasilaumu chama

Katibu Mkuu wa Jumuiya ya wazazi CCM Taifa Ally Hapi akiwa Kibaha Vijijini amepigilia msumari suala la viongozi waliopo madarakani kuhakikis...

Katibu Mkuu wa Jumuiya ya wazazi CCM Taifa Ally Hapi akiwa Kibaha Vijijini amepigilia msumari suala la viongozi waliopo madarakani kuhakikisha wanafanya kazi na kutoa mrejesho kwa wananchi waliompa madaraka hayo kuwaongoza hususani katika kipindi hiki ambacho wataingia katika kugombea nafasi zao na kuomba ridhaa kwa wananchi kuwachagua badala ya kuja kulalamika baada ya kushindwa katika chaguzi.

Hapi alisema katika wakati huu ambao tunaelekea katika uchaguzi wa serikali za mitaa chama hakitaunga mkono wagombea wasiotokana na wananchi ambao watakuwa na wakati mgumu katika kuwatafutia kura

“Hatutaki wagombea wa kuungaunga,tunataka mgombea ambaye wananchi watahitaji awaongoze na ndiyo tutashinda katika uchaguzi wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu ujao”alisema Hapi

Hapi amewataka wanaccm na viongozi kujenga utaratibu wa kukaa katika vikao kutatua changamoto zinazowakabili kwa kufuata utaratibu uliowekwa na chama cha mapinduzi

  

The post Hapi awaonya viongozi wasio wajibika,ataka wasilaumu chama first appeared on Millard Ayo.



from Millard Ayo https://ift.tt/NUb4efB
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: Hapi awaonya viongozi wasio wajibika,ataka wasilaumu chama
Hapi awaonya viongozi wasio wajibika,ataka wasilaumu chama
https://millardayo.com/wp-content/uploads/2024/09/IMG-20240907-WA0061-950x633.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2024/09/hapi-awaonya-viongozi-wasio.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2024/09/hapi-awaonya-viongozi-wasio.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy