Jasmine Akabidhi Simu janja , kwaajili ya Uvccm Kukamilisha uchaguzi
HomeHabariTop Stories

Jasmine Akabidhi Simu janja , kwaajili ya Uvccm Kukamilisha uchaguzi

Mjumbe wa Kamati ya Utekelezaji UVCCM Wilaya ya Mufindi, Jasmine Ng’umbi, ametoa simu janja kwa Umoja wa Vijana wa CCM Mkoa wa Iringa, akisi...

Mjumbe wa Kamati ya Utekelezaji UVCCM Wilaya ya Mufindi, Jasmine Ng’umbi, ametoa simu janja kwa Umoja wa Vijana wa CCM Mkoa wa Iringa, akisisitiza kuwa zitatumika kuimarisha zoezi la usajili wa wanachama.

Pia, alikabidhi jora nane la vitambaa kwa ajili ya vijana wa Itifaki, ili waweze kushona sare, kutokana na mchango mkubwa wa vijana hao katika chama cha Mapinduzi.

Jasmine alitoa msaada huu wakati wa kufungwa kwa mafunzo maalum ya vijana wa CCM kutoka kata mbalimbali za Mkoa wa Iringa, yaliyofanyika katika Chuo cha Vijana Ihemi.

Mgeni rasmi katika hafla hiyo alikuwa Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (MNEC), Salim Abri Asas.

Akizungumza katika hafla hiyo, Jasmine alisema mafunzo hayo yamekuwa na tija kubwa kwa vijana, kwani yameongeza ari ya kujenga chama chao, uvumilivu, na kuelewa sifa za uongozi.

Aliwashauri vijana kujiandaa kugombea nafasi mbalimbali na kuwa sehemu ya upatikanaji wa viongozi bora.


Wakati wa makabidhiano ya zawadi hizo, Asas aliwataka vijana kuendelea kujitolea ndani ya chama, huku akimpongeza Jasmine kwa juhudi zake katika shughuli za chama ambapo hivi karibuni alimteua Jasmine kuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Kusimamia Ujenzi wa Ofisi za Kata Wilaya ya Mufindi, hatua inayothibitisha dhamira yake ya kuleta mabadiliko chanya katika chama

The post Jasmine Akabidhi Simu janja , kwaajili ya Uvccm Kukamilisha uchaguzi first appeared on Millard Ayo.



from Millard Ayo https://ift.tt/jJriWBZ
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: Jasmine Akabidhi Simu janja , kwaajili ya Uvccm Kukamilisha uchaguzi
Jasmine Akabidhi Simu janja , kwaajili ya Uvccm Kukamilisha uchaguzi
https://millardayo.com/wp-content/uploads/2024/10/IMG-20241001-WA0002-950x633.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2024/10/jasmine-akabidhi-simu-janja-kwaajili-ya.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2024/10/jasmine-akabidhi-simu-janja-kwaajili-ya.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy