Kwa uwekezaji huu bandari ya Dar es Salaam itakuwa yamfano wa kuigwa -CPA Chalamila
HomeHabariTop Stories

Kwa uwekezaji huu bandari ya Dar es Salaam itakuwa yamfano wa kuigwa -CPA Chalamila

“Niseme ukweli Bandari ya Dar es salam ina mabadiliko makubwa sana kwani wakati nikiwa RC nilikuwa nakuja hapa lakini leo nimeshangaa ni uto...

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo September 20, 2024
REA yatumia zaidi ya Bil. 100 kutekeleza miradi ya umeme vijijini Kigoma
Habari kubwa Magazetini Kenya leo September 19, 2024

“Niseme ukweli Bandari ya Dar es salam ina mabadiliko makubwa sana kwani wakati nikiwa RC nilikuwa nakuja hapa lakini leo nimeshangaa ni utofauti mkubwa na Chama cha Mapinduzi kinaipongeza Wizara ya Uchukuzi na Taasisi zake kwa Uwekezaji mkubwa bandarini na hapa nimesikia na kujionea juu ya Uwekezaji kuanzia mitambo na Ufanisi wake mkubwa hapa ni niseme jambo moja wakati wa mjadala wa kupinga Uwekezaji Sisi tunaojua faida za Uwekezaji tuliwambia.

 

Leo kwa pamoja tunampongeza Mwenyekiti wetu na Rais wetu Dkt Samia Suluhu Hassan kwa Utekelezaji mzuri wa Ilani ya CCM”.

“Na CCM kwenye Nchi hii ndo tunawajibu wa kuwaletea maendeleo na kazi hii tumeifanya kwani wenzetu wao kazi Yao na wajibu wao ni kupinga na wamepinga vitu vingi SGR ,Ununuzi wa Ndege , Bwawa la Mwalimu Nyerere limepingwa lakini leo tunafaidi wote sasa niwaambie Wananchi wafahamu kuwa CCM ndio Chama chenye uwezo wa kuwaletea maendeleo”.

 

Lakini tangu Bandari yetu kupata Muwekezaji DP WORLD kuna mabadiliko makubwa ndani ya Miezi mitatu tu mfano muda wa kutoa makontena umepungua kutoka siku 46 za kusubili mpaka siku 0 yaani hakuna kusubili ikija inatia nanga moja kwa moja

lakini utegemezi wa Bandari yetu kwa Nchi za Nje umekuwa mkubwa Nchi Nane( 8) na tayari Sudani Kusini ipo mbioni kuanza Kutumia Bandari yetu. Katibu wa NEC-Itikadi Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa Ndugu Amos Makalla akizungumza baada ya kutembelea na kujionea kazi zinazofanyika Bandarini Dar es salam.

Nae Naibu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) Mhandisi Juma kijavara amesema suala la Wafanyakazi limezingatiwa Wafanyakazi zaidi ya 350 wamehamia kwa Muwekezaji DP WORLD hivyo ni tofauti na maneno yalivyokuwa yanasemwa.

 

The post Kwa uwekezaji huu bandari ya Dar es Salaam itakuwa yamfano wa kuigwa -CPA Chalamila first appeared on Millard Ayo.



from Millard Ayo https://ift.tt/6GpfkKA
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: Kwa uwekezaji huu bandari ya Dar es Salaam itakuwa yamfano wa kuigwa -CPA Chalamila
Kwa uwekezaji huu bandari ya Dar es Salaam itakuwa yamfano wa kuigwa -CPA Chalamila
https://millardayo.com/wp-content/uploads/2024/08/IMG-20240828-WA0044-950x581.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2024/08/kwa-uwekezaji-huu-bandari-ya-dar-es.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2024/08/kwa-uwekezaji-huu-bandari-ya-dar-es.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy