Chuo Kikuu cha Mzumbe kimetia saini ya mikataba 5 ya ujenzi kampasi ya Tanga
HomeHabariTop Stories

Chuo Kikuu cha Mzumbe kimetia saini ya mikataba 5 ya ujenzi kampasi ya Tanga

Chuo Kikuu cha Mzumbe kimetia saini yamikataba mitano yenye thamani ya sh Bil 16.5 kwa ajili ya kuanza kwa ujenzi wa miundombinu ya majengo ...

Habari kubwa Magazetini Kenya leo November 22, 2024
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo November 22, 2024
Chai yavutia wageni kutoka Ujerumani “Nchi hii ni tajiri jivunieni” ataka watanzania kutembelea vivutio 

Chuo Kikuu cha Mzumbe kimetia saini yamikataba mitano yenye thamani ya sh Bil 16.5 kwa ajili ya kuanza kwa ujenzi wa miundombinu ya majengo ya chuo hicho katika kampasi ya Tanga.

 

Mikataba hiyo yenye thamani ya Billioni 16.5 imesainiwa leo Agosti 30.2024 Katika Kata ya Gombero Wilaya ya Mkinga Mkoani Tanga huku zoezi hilo likisimamiwa na Naibu Waziri wa maliasili na utalii Dustan Kitandula ili kuanza rasmi utekelezaji wa miundombinu ya majengo katika chuo hicho.

 

Miradi itakayotekelezwa katika Kampasi ya Tanga ni pamoja na Ujenzi wa jengo la Taaluma yenye ofisi 35 za watumishi 65, maktaba ndogo ya wanafunzi 80 na ukumbi wa mihadhara mmoja kwa wanafunzi 300

 

Pia Ujenzi wa Hosteli mbili za wanafunzi, Cafeteria moja yenye uwezo wa kuchukua wanafunzi 180, jengo la zahanati, nyumba nne za watumishi pamoja na ujenzi wa mfumo wa kusafishia maji chafu.

 

Mradi huo ulianza rasmi tarehe 13.09.2021 baada ya mkataba kati ya Benki ya Dunia na Serikali ya Tanzania kusainiwa Kupitia Mradi wa Elimu ya juu kwa mageuzi ya kiuchumi (heet project)unaofadhiliwa na Benki ya dunia ambao umelenga kuongea udahili sambamba na ubora wa Elimu, mradi huo unatakiwa kutekelezwa kwa miaka mitano.

 

The post Chuo Kikuu cha Mzumbe kimetia saini ya mikataba 5 ya ujenzi kampasi ya Tanga first appeared on Millard Ayo.



from Millard Ayo https://ift.tt/HAzeL0T
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: Chuo Kikuu cha Mzumbe kimetia saini ya mikataba 5 ya ujenzi kampasi ya Tanga
Chuo Kikuu cha Mzumbe kimetia saini ya mikataba 5 ya ujenzi kampasi ya Tanga
https://millardayo.com/wp-content/uploads/2024/08/IMG-20240831-WA0016-950x633.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2024/08/chuo-kikuu-cha-mzumbe-kimetia-saini-ya.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2024/08/chuo-kikuu-cha-mzumbe-kimetia-saini-ya.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy