Chai yavutia wageni kutoka Ujerumani “Nchi hii ni tajiri jivunieni” ataka watanzania kutembelea vivutio 
HomeHabariTop Stories

Chai yavutia wageni kutoka Ujerumani “Nchi hii ni tajiri jivunieni” ataka watanzania kutembelea vivutio 

Watanzania wameshauriwa kujenga tabia ya kutembelea vivutio vya utalii vilivyopo karibu yao ili kuchochea maendeleo ya sekta ya utalii na ku...

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo June 19, 2024
Barcelona wamekataa ofa ya €30m kutoka kwa Manchester United kwa Fermin Lopez.
Habari kubwa Magazetini Kenya leo June 18, 2024

Watanzania wameshauriwa kujenga tabia ya kutembelea vivutio vya utalii vilivyopo karibu yao ili kuchochea maendeleo ya sekta ya utalii na kulinda rasilimali za taifa.

Wito huo umetolewa na baadhi ya wageni wa utalii kutoka Ujerumani waliotembelea mkoa wa Njombe kwa lengo la kujifunza kuhusu utalii wa kilimo cha chai.

“Sio mara yangu ya kwanza kuja Tanzania lakini ninaipenda sana hii nchi nimefanya kazi hapa lakini sikugundua kama kusini mwa Tanzania kuna mazingira mazuri,mkoa wa Njombe wanatakiwa wajivunie kwa mazao walionayo”amesema Werner Schurter mgeni kutoka Ujerumani

Kwa upande wao, wadau wa utalii wa mkoa wa Njombe wamesema ujio wa wageni wa kigeni ni ishara ya mafanikio katika juhudi za kukuza utalii wa ndani na kimataifa ambapo Michael Katona kutoka Kampuni ya Ramika Safaris and Tours pamoja na Michael Kalamu wameeleza kuwa mkoa huo una fursa kubwa za kitalii zinazoweza kuleta manufaa makubwa kiuchumi.

“Leo tumefanya utalii wa kilimo kwa kutembelea mashamba ya Chai Kibena na moja ya vitu walivyovutiwa wageni wetu ni pamoja na namna majani ya Chai yanavyopatikana kuanzia shambani mpaka kiwandani,kwa kweli tunaonaa furaha kuwa na sisi tunaweza kuhamasisha wenyeji na wageni kutembelea vivutio vyetu”amesema Katona

Baadhi ya wakazi wa Njombe wamesema ujio wa wageni wa nje unatoa fursa ya kutangaza mkoa kimataifa,huku ukileta fursa za kiuchumi kwa wenyeji.

The post Chai yavutia wageni kutoka Ujerumani “Nchi hii ni tajiri jivunieni” ataka watanzania kutembelea vivutio  first appeared on Millard Ayo.



from Millard Ayo https://ift.tt/zbeHhOE
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: Chai yavutia wageni kutoka Ujerumani “Nchi hii ni tajiri jivunieni” ataka watanzania kutembelea vivutio 
Chai yavutia wageni kutoka Ujerumani “Nchi hii ni tajiri jivunieni” ataka watanzania kutembelea vivutio 
https://millardayo.com/wp-content/uploads/2024/11/IMG-20241121-WA0005-950x634.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2024/11/chai-yavutia-wageni-kutoka-ujerumani.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2024/11/chai-yavutia-wageni-kutoka-ujerumani.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy