Good news ninayotaka kukusogezea kwa wewe mpenda burudani hususani muziki wa Afrika Kusini unaotamba kwasasa maarufu kama Amapiano. ...
Ni kwamba warembo wanaounda kundi la liitwalo Tango Supreme wanatarajiwa kuzichezesha live nyimbo za nchini kwao usiku wa leo July 27, 2024
Warembo hao watapanda katika jukwaa litakalofungwa Elements Masaki Dar es Salaam mahali ambapo watakutana na mashabiki zao.

The post Warembo wanaounda kundi la Tango Supreme kutumbuiza Dar usiku wa leo first appeared on Millard Ayo.
from Millard Ayo https://ift.tt/2ihTsge
COMMENTS