Wanahitajika Waimbaji Wa Kike Wenye Vipaji Vya Kuimba
HomeHabari

Wanahitajika Waimbaji Wa Kike Wenye Vipaji Vya Kuimba

Je wewe ni msichana mwenye kipaji cha kuimba? Unahitaji kuendeleza kipaji chako cha kuimba lakini haujui uanzie wapi? Kama jibu lako ni ND...

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo October 20, 2024
Gabon inatarajiwa kupiga kura ya maoni kuhusu katiba mpya Nov 16
Habari kubwa Magazetini Kenya leo October 19, 2024

Je wewe ni msichana mwenye kipaji cha kuimba? Unahitaji kuendeleza kipaji chako cha kuimba lakini haujui uanzie wapi? Kama jibu lako ni NDIO basi HII NI HABARI NJEMA SANA KWAKO. Madusko dusko Entertainment Promotion ina hitaji wasichana watatu wenye vipaji vya kuimba . 

Mmoja awe na uwezo wa kuimba sauti ya KWANZA vizuri , wa pili awe na uwezo wa kuimba sauti ya pili vizuri na wa tatu awe na uwezo wa kuimba sauti ya tatu vizuri. Kama akiwa na uwezo wa kuimba sauti zaidi ya moja au sauti zote tatu atakuwa amejiweka katika nafasi nzuri zaidi ya kupata nafasi hii.  Awe anaishi jijini Dar Es Salaam au Zanzibar.  JINSI YA KUFANYA USAILI.

 Tuma voice note ukiimba wimbo wowote uupendao kwenda namba 0745 433 595. Unapotuma voice note yako  taja majina yako kamili, umri wako na mahali Unapo ishi. Kwa watakao chaguliwa wataunda kundi jipya la muziki na wataingia studio Mwezi wa nane kwa ajili ya kurekodi albamu ya muziki.. NB: usipige simu. Wewe tuma voice note yako pamoja na maelezo kama yalivyo andikwa hapo juu. Mwisho wa kupokea voice note ni Jumatatu tarehe 25 Julai 2022 saa tisa kamili alasiri. Watakao tuma voice notes zao mapema ndio watakao zingatiwa zaidi.



Credit: MPEKUZI

Thanks for your time please share with your friends
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: Wanahitajika Waimbaji Wa Kike Wenye Vipaji Vya Kuimba
Wanahitajika Waimbaji Wa Kike Wenye Vipaji Vya Kuimba
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjkIyaWjzIv-b2f5E6il188dOw1cMCtPY8F2OFDYeJTyT8-7A4RJKVapomfdIoq-cjzoQrfyq-Zk-o7G_mSd_wEBwuKx90EgBqpQclzhxQ978PcA6LnRutG29q_l2b-K7zYiKtWD60tN0FGBDi9S9amqvAMGd4h30VPCUawYsK8N8dTuYP8pk_rcKvlSQ/s16000/stigo123.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjkIyaWjzIv-b2f5E6il188dOw1cMCtPY8F2OFDYeJTyT8-7A4RJKVapomfdIoq-cjzoQrfyq-Zk-o7G_mSd_wEBwuKx90EgBqpQclzhxQ978PcA6LnRutG29q_l2b-K7zYiKtWD60tN0FGBDi9S9amqvAMGd4h30VPCUawYsK8N8dTuYP8pk_rcKvlSQ/s72-c/stigo123.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2022/07/wanahitajika-waimbaji-wa-kike-wenye.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2022/07/wanahitajika-waimbaji-wa-kike-wenye.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy