HomeHabariTop Stories

Gabon inatarajiwa kupiga kura ya maoni kuhusu katiba mpya Nov 16

Raia wa Gabon wanaitwa kushiriki kura ya maoni mnamo Novemba 16 kuhusu rasimu ya katiba mpya, hatua muhimu kuelekea kurejea kwa utawala wa k...

Raia wa Gabon wanaitwa kushiriki kura ya maoni mnamo Novemba 16 kuhusu rasimu ya katiba mpya, hatua muhimu kuelekea kurejea kwa utawala wa kiraia ulioahidiwa na utawala wa kijeshi baada ya mapinduzi ya mwaka 2023, imetangaza serikali ya mpito.

Hatua ya mwisho ya utaratibu uliozinduliwa baada ya kutimuliwa kwa Rais Ali Bongo, rasimu ya sheria ya msingi ilipitishwa siku ya Alhamisi na Baraza la Mawaziri, inabainisha taarifa kwa vyombo vya habari iliyotumwa jioni na Laurence Ndong, msemaji wa serikali inayoongozwa na Jenerali Brice Ngema Oligui.

 

“Baraza la Mawaziri lilionyesha kuridhishwa kwake na matokeo ya rasimu ya Katiba mpya .

Hatua inayofuata ya uamuzi katika mchakato wa mpito itakuwa ni kuandaa kura ya maoni ya katiba,” inabainisha taarifa hii kwa vyombo vya habari, huku ikisema kuwa sheria nne zimepitishwa ili kudhibiti utaratibu huo, mojawapo ikiitisha kura ya maoni “Novemba 16, 2024”, na nyingine inabainisha kuwa wapiga kura watakuwa na chaguo kati ya kura mbili, “Ndiyo” na “Hapana”

The post Gabon inatarajiwa kupiga kura ya maoni kuhusu katiba mpya Nov 16 first appeared on Millard Ayo.



from Millard Ayo https://ift.tt/HFd8gkj
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: Gabon inatarajiwa kupiga kura ya maoni kuhusu katiba mpya Nov 16
Gabon inatarajiwa kupiga kura ya maoni kuhusu katiba mpya Nov 16
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2024/10/gabon-inatarajiwa-kupiga-kura-ya-maoni.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2024/10/gabon-inatarajiwa-kupiga-kura-ya-maoni.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy