Serikali imetoa Kibali cha Ajira za Jeshi la Magereza. Hivyo, Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza, anatangaza nafasi za ajira mbada...
Serikali imetoa Kibali cha Ajira za Jeshi la Magereza. Hivyo, Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza, anatangaza nafasi za ajira mbadala 1,241 za kujiunga na Jeshi kwa Mwaka 2022.
Jeshi litaajiri kwa kuzingatia vigezo vinavyohitajika kulingana na maelekezo ya Serikali. Hivyo Waombaji wote wanaotaka kujiunga na Jeshi la magereza wanatakiwa wawe na sifa zilizoanishwa hapa chini.
Credit: MPEKUZI
Thanks for your time please share with your friends
COMMENTS