Tangazo la nafasi za kazi za Makarani na Wasimamizi wa Sensa 2022
HomeHabari

Tangazo la nafasi za kazi za Makarani na Wasimamizi wa Sensa 2022

Serikali imewaonya  baadhi ya watu au makundi ya watu wenye nia isiyo njema kwa zoezi la sensa ambao wamekuwa wakitoa  matangazo ya ajir...

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo July 8, 2024
Waziri Makamba awaasa Marekani kuliishi Azimio la Uhuru
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo July 7, 2024


Serikali imewaonya  baadhi ya watu au makundi ya watu wenye nia isiyo njema kwa zoezi la sensa ambao wamekuwa wakitoa  matangazo ya ajira za Sensa kwa nia ya kuwatapeli wananchi wanaohitaji kushiriki katika zoezi hilo.

Hayo yalisemwa Mei, 05, 2022 Jijini Dodoma na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Sera, Bunge na Uratibu Mhe. George Simbachawene wakati akizungumza na waandishi wa habari kuhusu kuanza kwa mchakato wa Ajira za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi itakayofanyika Agosti 23, 2022 Nchi nzima.

Pia Mhe. Simbachawene alisema kwamba mchakato wa ajira za makarani na wasimamizi kuanzia Mei 05 hadi Mei 19,2022 ambao utahusisha ngazi  zote za kiutawala kuhakikisha wanapatikana makarani na wasimamizi wenye sifa stahiki.

==>>BOFYA HAPA KUTUMA MAOMBI

“Kumekuwepo na watu au makundi ya watu wenye nia isiyo njema kwa zoezi la sensa ambao wamekuwa wakijaribu kutoa matangazo ya ajira za Sensa kwa nia ya kuwatapeli wananchi wanaohitaji kushiriki katika zoezi hili na pengine kwa nia ya kuvuruga mchakato mzima,”alisema Mhe. Simbachawene.

Vilevile Mhe. Simbachawene aliwahimiza watanzania wote wenye sifa ambao wangependa kuomba nafasi za ajira hizo kufuata utaratibu uliowekwa kwa ukamilifu ili kuomba nafasi hizo.

“Kazi za kufanya pamoja na sifa za mwombaji zimebainishwa katika Tangazo la Ajira za Muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2022.Hakutakuwa na maombi yatakayofanyiwa kazi zaidi ya yale yatakayofuata utaratibu uliowekwa mtandaoni,”alifafanua Mhe. Simbachawene.

Kuhusu namna ya kufanya maombi hayo alibainisha kwamba waombaji watatakiwa kutuma maombi yao kupitia mtandao (online) ambao hautahusisha malipo yoyote kwa mwombaji wa ajira.

==>> BOFYA HAPA KUTUMA MAOMBI

” Mfumo wa kuomba ajira hizi kupitia mtandao unapatikana kupitia tovuti zifuatazo;www.pmo.go.tz, www.tamisemi.go.tz,  www.nbs.go.tz kwa Tanzania Bara na www.ompr.go.tz, https://ift.tt/wJZp71V au www.ocgs.go.tz kwa wale wanaoomba Tanzania Zanzibar,”Alieleza.

Aidha alihitimisha kuwa mchakato wa kuchambua maombi ya kazi pamoja na usaili utasimamiwa na Kamati maalum itakayoundwa katika ngazi ya kila Wilaya na usaili utafanyika katika ngazi ya kata kwa nafasi za makarani na wasimamizi wa maudhui na katika ngazi ya Wilaya kwa Wasimamizi wa TEHAMA,”alihitimisha Mhe. Simbachawene.

___________

1. Kusoma vigezo na masharti ya kazi <<bonyeza hapa.>>

2. Kujaza fomu ya maombi ya kazi za sensa <<bonyeza hapa>>

3. Ingia kwenye mfumo kukamilisha usajili(Kubadilisha taarifa na kupandisha  fomu Na. 1 ya maombi ya kazi za sensa ILIYOSAINIWA) <<bonyeza hapa>>

 



Credit: MPEKUZI

Thanks for your time please share with your friends
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: Tangazo la nafasi za kazi za Makarani na Wasimamizi wa Sensa 2022
Tangazo la nafasi za kazi za Makarani na Wasimamizi wa Sensa 2022
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiR9y5SKF11U0S6Fh7YI172Kedh6_ImXEFxUu-1HFbI9XeDk8rIVZqBcsOwyZ8yLA0uILf1-5VhDsw9SDIqTMv_fGKVpWDEFpag1mfr1wTItMa1oQP5LjbZVZ8Ij4sQ0ekDHNogRCmXws9HmQMZpRFB6YCB2MzweUJz9PibMFPaHSxoHve8AG3BNxqL6Q/s16000/2.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiR9y5SKF11U0S6Fh7YI172Kedh6_ImXEFxUu-1HFbI9XeDk8rIVZqBcsOwyZ8yLA0uILf1-5VhDsw9SDIqTMv_fGKVpWDEFpag1mfr1wTItMa1oQP5LjbZVZ8Ij4sQ0ekDHNogRCmXws9HmQMZpRFB6YCB2MzweUJz9PibMFPaHSxoHve8AG3BNxqL6Q/s72-c/2.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2022/05/tangazo-la-nafasi-za-kazi-za-makarani.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2022/05/tangazo-la-nafasi-za-kazi-za-makarani.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy