Serikali yasisitiza utunzaji wa miundombinu
HomeHabari

Serikali yasisitiza utunzaji wa miundombinu

Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Profesa Makane Mbarawa amesema serikali Kupitia wizara yake itaendelea kusimamia utunzaji wa miundombinu ya ...

Rais Samia Kuondoka Kesho Nchini Kuelekea Cairo Nchini Misri Kwenye Ziara Ya Kiserikali
Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Novemba 10
Taarifa Ya Jeshi La Polisi Mkoa Wa Mbeya


Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Profesa Makane Mbarawa amesema serikali Kupitia wizara yake itaendelea kusimamia utunzaji wa miundombinu ya usafiri inayojengwa katika maeneo mbalimbali nchini ili iwe na manufaa kwa wananchi kama ilivyokusudiwa.

Kwa upande wa wananchi na watumiaji wote wa miundombinu hiyo Profesa Mbarawa amewataka kuisaidia serikali katika ulinzi kwa manufaa ya vizazi vya sasa na vijavyo.

Profesa Mbarawa ametoa kauli hiyo mkoani Tabora
wakati wa uzinduzi wa barabara ya Nyahua hadi chanya yenye urefu wa kilomita 85.4 iliyojengwa kwa kiwango cha lami.

Amesema barabara hiyo itarahisisha usafiri na usafirishaji katika mikoa yaTabora na Singida pamoja na mikoa jirani na nchi jirani za Burundi na Rwanda.

 

 



Credit: MPEKUZI

Thanks for your time please share with your friends
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: Serikali yasisitiza utunzaji wa miundombinu
Serikali yasisitiza utunzaji wa miundombinu
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhEbAbGfq-hja86mv17qDaIxnr-uK8_KQ3KfJcxTzsYife1qtN9Vm7BbOqmM6Ijh10QdbegtAQrMIfE5d2M7XlbkN4mswzua95XCG7UyGYAK8nYCmWHvfi7DVErG2drJxx8KVS9XwRed-yGcO6zgJfXQqSvGPmVZdZxt5T0Z0ZepxZWxiCb1f7dT_sJ-Q/s16000/1.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhEbAbGfq-hja86mv17qDaIxnr-uK8_KQ3KfJcxTzsYife1qtN9Vm7BbOqmM6Ijh10QdbegtAQrMIfE5d2M7XlbkN4mswzua95XCG7UyGYAK8nYCmWHvfi7DVErG2drJxx8KVS9XwRed-yGcO6zgJfXQqSvGPmVZdZxt5T0Z0ZepxZWxiCb1f7dT_sJ-Q/s72-c/1.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2022/05/serikali-yasisitiza-utunzaji-wa.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2022/05/serikali-yasisitiza-utunzaji-wa.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy