Bilioni 123 zajenga barabara ya Nyahua - Chaya
HomeHabari

Bilioni 123 zajenga barabara ya Nyahua - Chaya

Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara Nchini (TANROADS) Mhandisi Rogatus Mativila amesema, kukamilika na kuzinduliwa kwa barabara ya Nyahua...

Bomu lajeruhi watano
Kamamati za Bunge zawagwaya kina Chenge, Ngeleja
Escrow yauma vigogo BoT, TRA


Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara Nchini (TANROADS) Mhandisi Rogatus Mativila amesema, kukamilika na kuzinduliwa kwa barabara ya Nyahua hadi Chaya kutafungua na kurahisisha shughuli za usafiri na usafirishaji katika mikoa ya Singida na Tabora pamoja na mikoa jirani.

Akisoma taarifa ya ujenzi kwa Rais Samia Suluhu Hassan ambaye alikuwa mgeni rasmi katika hafla ya uzinduzi wa barabara hiyo, Mhandisi Mativila amesema barabara hiyo iliyojengwa kwa kiwango cha lami ina urefu wa kilomita 85.4.

Amesema barabara hiyo ya Nyahua hadi Chaya ina makaravati makubwa 32 na madogo 60.

Barabara hiyo imejengwa kwa gharama ya zaidi ya shilingi bilioni 123 na ujenzi wake umechukua muda wa miaka mitano kuanzia mwaka 2017 hadi 2021.

 




Credit: MPEKUZI

Thanks for your time please share with your friends
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: Bilioni 123 zajenga barabara ya Nyahua - Chaya
Bilioni 123 zajenga barabara ya Nyahua - Chaya
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhvANmwgCTrgT2M_1mGisLVvAIpCFIM_GBt2A7ZTaYkzeIOIFSQqQvllryZfbVCZO-7rbtQpC-HThfQs58wSols-fv65K1jKGTDV5CiQbI7Zy9QfLa8nb4Vr3_4RvVe8-w3aOWBP0GafONarHB8GUS0wahTX9UZkBk4HQjPz6wMiDUiJVlUWsi_qRdlog/s16000/1.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhvANmwgCTrgT2M_1mGisLVvAIpCFIM_GBt2A7ZTaYkzeIOIFSQqQvllryZfbVCZO-7rbtQpC-HThfQs58wSols-fv65K1jKGTDV5CiQbI7Zy9QfLa8nb4Vr3_4RvVe8-w3aOWBP0GafONarHB8GUS0wahTX9UZkBk4HQjPz6wMiDUiJVlUWsi_qRdlog/s72-c/1.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2022/05/bilioni-123-zajenga-barabara-ya-nyahua.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2022/05/bilioni-123-zajenga-barabara-ya-nyahua.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy