Bajeti ya wizara ya Ulinzi yapita
HomeHabari

Bajeti ya wizara ya Ulinzi yapita

Bunge limeidhinisha bajeti ya Sh trilioni 2.7 ya mapato na matumizi ya Wizara ya Ulinzi na Jeshi la kujenga Taifa (JKT) bungeni mjini Dod...

Mamlaka ya kudhibiti na kupambana na dawa za kulevya nchini yaanza uchunguzi wa Skanka zinazodaiwa kusindikwa
Habari kubwa Magazetini Kenya leo September 13, 2024
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo September 13, 2024


Bunge limeidhinisha bajeti ya Sh trilioni 2.7 ya mapato na matumizi ya Wizara ya Ulinzi na Jeshi la kujenga Taifa (JKT) bungeni mjini Dodoma .

Akiwasilisha bajeti hiyo jana ,  Waziri wa Ulinzi, Stergomena Tax, amesema katika Mwaka wa Fedha 2022/2023, Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa imelenga kutekeleza mpango na bajeti kwa kuzingatia Dira na Dhima ya Wizara, Dira ya Maendeleo ya Taifa 2025, Mpango wa Tatu wa Maendeleo wa Taifa wa Miaka Mitano (2021/22 – 2025/26), Malengo ya Maendeleo Endelevu 2030 (SDGs).

Pia amesema bajeti hiyo imezingatia ilani ya uchaguzi ya Chama cha Mapinduzi (CCM) ya mwaka 2020, na muongozo wa maandalizi ya mpango na bajeti ya serikali kwa mwaka wa fedha 2022/2023.


Credit: MPEKUZI

Thanks for your time please share with your friends
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: Bajeti ya wizara ya Ulinzi yapita
Bajeti ya wizara ya Ulinzi yapita
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiguPpJNGn4DanIO-5JZv2j2XCw2xSqfv_8OKtb6iKC2AyLe2QbcUewk824taOQBE_OZ1lWOFuiw179hQvi4p1lAUWK1EXfPPD4vIyUxSiAQ9CPjXfQ-IP-5mCv2n-lTpUP9dIaOoLJIV-U672MVh9lSpqmcdJk1OoyvFXCk7UvOTvMQ4Ef85IhEj-g6A/s16000/1.png
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiguPpJNGn4DanIO-5JZv2j2XCw2xSqfv_8OKtb6iKC2AyLe2QbcUewk824taOQBE_OZ1lWOFuiw179hQvi4p1lAUWK1EXfPPD4vIyUxSiAQ9CPjXfQ-IP-5mCv2n-lTpUP9dIaOoLJIV-U672MVh9lSpqmcdJk1OoyvFXCk7UvOTvMQ4Ef85IhEj-g6A/s72-c/1.png
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2022/05/bajeti-ya-wizara-ya-ulinzi-yapita.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2022/05/bajeti-ya-wizara-ya-ulinzi-yapita.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy