Tangazo La Nafasi Za Masomo Chuo Kikuu Kishiriki Cha Kumbukumbu ya Stefano Moshi (SMMUCo) Kwa Mkupuo Wa April 2022/2023
HomeHabari

Tangazo La Nafasi Za Masomo Chuo Kikuu Kishiriki Cha Kumbukumbu ya Stefano Moshi (SMMUCo) Kwa Mkupuo Wa April 2022/2023

Chuo Kikuu Kishiriki Cha Kumbukumbu ya Stefano Moshi (SMMUCo) kinatangaza nafasi za masomo kwa mwaka 2022/2023 katika ngazi ya Cheti na ...

IGP Sirro afanya mabadiliko kwa baadhi ya makamanda wa Jeshi la Polisi
Habari Zilizopo Katika Magazeti Ya Leo June 1
Pre-order Infinix Note 10 Kwa Kutanguliza Tsh.50,000 Tu na Upate Punguzo Kubwa la Bei


Chuo Kikuu Kishiriki Cha Kumbukumbu ya Stefano Moshi (SMMUCo) kinatangaza nafasi za masomo kwa mwaka 2022/2023 katika ngazi ya Cheti na Diploma zinazotolewa na Taasisi Tanzu ya Masoka Professionals Training Institute iliyopo Moshi Mjini, Kozi hizi zitaanza Mwezi Mei, 2022.


Nafasi ni kwa kozi zifuatazo:

1.     Business Administration

2.     Community Development

SIFA ZA MWOMBAJI

Kozi za Cheti: Mwombaji awe amehitimu kidato cha nne awe na ufaulu wa alama D nne na kuendelea isipokuwa somo la Dini.

Diploma: Mwombaji awe amemaliza kidato cha sita na awe na Principal Pass moja na subsidiary moja isipokuwa somo la Dini AU awe amehitimu cheti (astashahada) kutoka Chuo kinachotambulika na Serikali.

Chuo pia kinatangaza nafasi za ufadhili wa nusu ada kwa waombaji wanaotoka katika sharika zote za KKKT Dayosisi ya kaskazini. Hivyo wote wenye sifa wanahimizwa kufika kwa wachungaji wao ili kusajiliwa katika mpango huu maalumu.

Maombi yanaweza kufanyika kwa njia ya mtandao kupitia smmuco.osim.cloud/apply

FOMU ZINAPATIKANA SEHEMU ZIFUATAZO

1.     Tovuti ya Chuo: www.smmuco.ac.tz

2.     Chuoni - Moshi Mjini.

3.     KKKT Christian Bookshop Moshi Mjini – mkabala na stendi kuu ya mabasi

4.     Ofisi za Sharika zote za KKKT Dayosisi ya kaskazini.

Kwa maelezo zaidi: Piga simu namba: 0653422928, 0756512757, 0786862089, 0756029652

Pia Chuo kina kozi zingine zitazotolewa Mwezi Septemba ambazo ni:

SHAHADA


1.     Bachelor of Arts in Community Development

2.     Bachelor of Accounting and Finance

3.     Bachelor of Arts with Education

 
ASTASHAHADA (CHETI) NA STASHAHADA (DIPLOMA)

1.     Law

2.     Tour guiding and Tourism

3.     Information Technology

4.     Human Resource Management

5.     Journalism

6.     Accountancy

7.     Business Administration

8.     Procurement and Supply

9.     Community Development

10. Records and Archives Management

 

NYOTE MNAKARIBISHWA




Credit: MPEKUZI

Thanks for your time please share with your friends
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: Tangazo La Nafasi Za Masomo Chuo Kikuu Kishiriki Cha Kumbukumbu ya Stefano Moshi (SMMUCo) Kwa Mkupuo Wa April 2022/2023
Tangazo La Nafasi Za Masomo Chuo Kikuu Kishiriki Cha Kumbukumbu ya Stefano Moshi (SMMUCo) Kwa Mkupuo Wa April 2022/2023
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEibwQOI-rfcvKy4SgLNoJpXgof4XqJerkb0e20zZJoMdmlFgchDuhzKtb9ErgIOq08pZLMV32trnZbcPtAI62I4exX9IT-L1dNMWGtYztK4hpp_pPwyXEFah_dYMSJNkBetrOqNu_D9mx3F3XdlndOmr3gVpCxjWSS6FUOWePCc0Oyol_ak_Kh3pjVpQw/s16000/1.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEibwQOI-rfcvKy4SgLNoJpXgof4XqJerkb0e20zZJoMdmlFgchDuhzKtb9ErgIOq08pZLMV32trnZbcPtAI62I4exX9IT-L1dNMWGtYztK4hpp_pPwyXEFah_dYMSJNkBetrOqNu_D9mx3F3XdlndOmr3gVpCxjWSS6FUOWePCc0Oyol_ak_Kh3pjVpQw/s72-c/1.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2022/04/tangazo-la-nafasi-za-masomo-chuo-kikuu.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2022/04/tangazo-la-nafasi-za-masomo-chuo-kikuu.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy