Sababu za Uber kusitisha huduma Tanzania
HomeHabari

Sababu za Uber kusitisha huduma Tanzania

 Kampuni ya Uber ambayo hutoa huduma ya usafiri ya taxi kwa njia ya mtandao imesitisha huduma zake nchini Tanzania. Taarifa iliyotumwa n...

Utengenezaji wa mabehewa 264 ya mizigo umekamilika nchini China -TRC
Habari kubwa Magazetini Kenya leo November 15, 2024
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo November 15, 2024

 Kampuni ya Uber ambayo hutoa huduma ya usafiri ya taxi kwa njia ya mtandao imesitisha huduma zake nchini Tanzania.



Taarifa iliyotumwa na timu ya Uber kwa wateja wa usafiri huo maarufu nchini imesema kuwa wameamua kusitisha huduma zake kuanzia leo Alhamisi 14 Aprili 2022.


Taarifa hiyo ambayo imetumwa kwenye email za wateja jana Jumatano imesema kuwa huduma za UberX, UberXL na UberX Saver hazitapatikana nchini Tanzania.


Taarifa hiyo imeeleza kuwa sababu ya kusitisha huduma hiyo ni kutokana na kanuni za usimamizi wa sekta hiyo kujenga mazingira ambayo si rafiki na zimekuwa changamoto kubwa katika uendeshaji wa biashara hiyo.


 â€œTumechukua uamuzi mgumu wa kusitisha kwa muda huduma za UberX, UberXL na UberX Saver nchini Tanzania, bidhaa hizi hazitapatikana kuanzia Alhamis 14 Aprili 2022. Kanuni za sasa za usimamizi wa sekta hii zimejenga mazingira ambayo si rafiki na zimekuwa changamoto kubwa katika uendeshaji wa biashara yetu, hadi pale muafaka utakapopatikana, hatutaendelea kutoa huduma za usafiri wa UberX, UberX Saver na UberXL nchini Tanzania.


"Tunapenda kuchukua fursa hii kukushukuru kwa dhati- kwa kuchagua mfumo wetu kufanya safari zako jijini Dar es Salaam ambako tumekuwa tukitoa huduma zetu kwa kipindi cha miaka sita iliyopita"  imesema taarifa hiyo na kuongeza


“Huu ni wakati mgumu kwetu sote, lakini hii haina maana kwamba ndio mwisho wa kila kitu. Tuko tayari kushirikiana na mamlaka husika na kuwa na mazungumzo yatakayoleta tija na kujenga mazingira wezeshi na tutarudi na kuendelea na kukupa usafiri wa kutegemewa na wa uhakika ambao umekuwa ukiitumia, baada ya kujiridhisha kwamba mazingira ya kibiashara ni rafiki"



Credit: MPEKUZI

Thanks for your time please share with your friends
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: Sababu za Uber kusitisha huduma Tanzania
Sababu za Uber kusitisha huduma Tanzania
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiPi5gX02Ff1XiQ2nu9u1a7O2IRX80HwinG2H32QsY3IyU6SmXpqOo8vYa09dZYkuqtmuCqVlzEbYb-HQm0l_aGTYTxyNW77LPVYCNCeDRqrIweMnR64EoTnFddAu-8arFDhKr7MwguN2rJ5OJXstvOeaf_2gsLmj4AfcirmtI6d3PfXFeRiAjfsRl-wg/s16000/1.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiPi5gX02Ff1XiQ2nu9u1a7O2IRX80HwinG2H32QsY3IyU6SmXpqOo8vYa09dZYkuqtmuCqVlzEbYb-HQm0l_aGTYTxyNW77LPVYCNCeDRqrIweMnR64EoTnFddAu-8arFDhKr7MwguN2rJ5OJXstvOeaf_2gsLmj4AfcirmtI6d3PfXFeRiAjfsRl-wg/s72-c/1.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2022/04/sababu-za-uber-kusitisha-huduma-tanzania.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2022/04/sababu-za-uber-kusitisha-huduma-tanzania.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy