Utengenezaji wa mabehewa 264 ya mizigo umekamilika nchini China -TRC
HomeHabariTop Stories

Utengenezaji wa mabehewa 264 ya mizigo umekamilika nchini China -TRC

Shirika la Reli Tanzania – TRC limesema utengenezaji wa mabehewa 264 ya mizigo umekamilika nchini China. Meli iliyobeba mabehewa hayo imeng...

Ugonjwa wa ajabu uliosumbua DRC Congo huenda ni Malaria :CDC
Ujenzi wa mradi wa kufua umeme wa bwawa la Julius Nyerere wafikia asilimia 99.55
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo December 20, 2024

Shirika la Reli Tanzania – TRC limesema utengenezaji wa mabehewa 264 ya mizigo umekamilika nchini China.

Meli iliyobeba mabehewa hayo imeng’oa nanga nchini China Novemba 12, 2024 na inatarajiwa kufika Tanzania katikati ya mwezi Disemba 2024.

Katika mzigo huo kuna mabehewa 200 ya kubeba makasha (makontena) na mabehewa 64 ya kubeba mizigo isiyofungwa (loose cargoes).

Shehena hiyo ya mabehewa 264 ni sehemu ya jumla ya mabehewa 1,430 ambayo kwa mujibu wa mkataba yanatakiwa kutengenezwa na kampuni ya CRRC.

TRC inategemea kuanza kusafirisha mizigo kwa reli ya SGR kati ya January au February mwakani

The post Utengenezaji wa mabehewa 264 ya mizigo umekamilika nchini China -TRC first appeared on Millard Ayo.



from Millard Ayo https://ift.tt/JFEzqYZ
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: Utengenezaji wa mabehewa 264 ya mizigo umekamilika nchini China -TRC
Utengenezaji wa mabehewa 264 ya mizigo umekamilika nchini China -TRC
https://millardayo.com/wp-content/uploads/2024/11/082f720a-3137-4f61-aab6-001f265a1f33-950x713.jpeg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2024/11/utengenezaji-wa-mabehewa-264-ya-mizigo.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2024/11/utengenezaji-wa-mabehewa-264-ya-mizigo.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy