Aua mtoto na kumuweka kwenye ndoo
HomeHabari

Aua mtoto na kumuweka kwenye ndoo

Jeshi Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linamshikilia Latifa Bakari (33) mkazi wa Mabibo mkoani Dar es Salaam, kwa tuhuma za mauaji ya...

Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo Gerald Kusaya Akabidhi Vitendea Kazi Kwa Watumishi Wa Afya Ya Mimea
Taasisi Nne Kuchunguza Shule Ya Don Bosco – Tanga
Askofu Malekana: Matamko na nyaraka yanatengeneza taharuki katika jamii.


Jeshi Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linamshikilia Latifa Bakari (33) mkazi wa Mabibo mkoani Dar es Salaam, kwa tuhuma za mauaji ya mtoto wa mdogo wake aliyekuwa na umri wa miaka miwili na miezi minne.

Mtuhumiwa huyo aliachiwa mtoto huyo na mdogo wake ili amlee na tarehe 5 mwezi huu alifanya mauaji hayo baada ya kumpiga kupita kiasi.

Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam Muliro Jumanne amesema baada ya kubaini kuwa mtoto huyo amefariki dunia kutokana na kipigo, tarehe 6 mwezi huu mtuhumiwa huyo aliuchukua mwili wake na kuukunja na kuuweka kwenye ndoo ya plastiki na kisha kuudumbukiza kwenye kiroba na kwenda kuutupa eneo la River Side Ubungo.

Baaba ya majirani kutomuona mtoto huyo walitoa taarifa polisi ambao walifanya mahojiano na mtuhumiwa ambaye alikiri kufanya mauaji hayo na kwenda kuwaonesha polisi ulipo mwili wa mtoto huyo.


Credit: MPEKUZI

Thanks for your time please share with your friends
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: Aua mtoto na kumuweka kwenye ndoo
Aua mtoto na kumuweka kwenye ndoo
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjrfLSHag91MSKeRX9G9Updm6sQ7iWgL1o0niBjV3HOrsp0d380jQecW-YOjRxrlMbWko-Sp0O0H9n8jHIsM3fdmyv4oJk3Ddj17PbwqLSRzTAVJssjtCzjSe08K1xjytKxLWtU7tqIE_tZwdmLFxz7r1qJe54bUfJc2GpD4f2t9XtPckUsxuPz2UwVnw/s16000/1.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjrfLSHag91MSKeRX9G9Updm6sQ7iWgL1o0niBjV3HOrsp0d380jQecW-YOjRxrlMbWko-Sp0O0H9n8jHIsM3fdmyv4oJk3Ddj17PbwqLSRzTAVJssjtCzjSe08K1xjytKxLWtU7tqIE_tZwdmLFxz7r1qJe54bUfJc2GpD4f2t9XtPckUsxuPz2UwVnw/s72-c/1.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2022/04/aua-mtoto-na-kumuweka-kwenye-ndoo.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2022/04/aua-mtoto-na-kumuweka-kwenye-ndoo.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy