Ahukumiwa Miaka 19 Jela Kwa Kosa La Wizi Wa Fedha Mtandaoni
HomeHabari

Ahukumiwa Miaka 19 Jela Kwa Kosa La Wizi Wa Fedha Mtandaoni

Na John Walter-Manyara Mahakama ya wilaya ya Babati Mkoani Manyara imemhukumu  Gusurugusta Ginanai(35) mkazi wa Serengeti kwenda jela mi...

Ujerumani Yaipatia Tanzania Msaada Mwingine Wa Sh. Bilioni 119 Ndani Ya Siku Nne
Hatimaye Vibali Vya NEMC (EIA CERTIFICATE) Ndani Ya Siku 14 Badala Ya Siku 105
Wanaorusha, kukanyaga noti waonywa


Na John Walter-Manyara
Mahakama ya wilaya ya Babati Mkoani Manyara imemhukumu  Gusurugusta Ginanai(35) mkazi wa Serengeti kwenda jela miaka 19 kwa kosa la wizi wa  fedha mtandaoni.


Akisoma hati ya mashtaka mwendesha mashtaka wa serikali Grace Mgaya alisema mshtakiwa Julai 23 mwaka 2020 hadi Agost 18 mwaka 2020  akiwa Kijiji cha Orbesh kilichopo wilaya ya Babati aliiba sh. Milioni mbili kutoka Benki ya CRDB kwenye akaunt namba 0152297915900 ya Martin Pamoki ambaye alimuomba kumfanyia muamala kupitia Simbanking kwa simu yake ya mkononi.


Mgaya alidai watu hao walikutana Kijiji cha Orbesh ambapo mlalamikaji alikuwa anatibiwa macho kwa kutumia dawa za asili ndipo alimuomba amsaidie kuhamisha fedha.


Aidha alisema mshtakiwa siku iliyofuata alimuomba simu Pamoki ili aweze kuwapigia ndugu zake alipopewa simu ndipo alihamisha fedha nyingine kwenda akaunt zake tofauti.


Alisema mshtakiwa kwa kuwa alikuwa na namba za siri alihamisha sh. Mil. 31.250 na kutokomea kusikojulikana.


Baada ya Pamoki kubaini ameibiwa aliripoti kituo cha polisi Babati ndipo polisi walianza msako na kumnasa akiwa Mkoani Katavi amejificha.


Akisoma hukumu hiyo jana Hakimu mkazi Mfawidhi wa mahakama ya wilaya ya Babati Victor Kimario alisema baada ya kujiridhisha pasipo shaka mshtakiwa amemtia hatia na kumtaka kutumikia kifungo cha miaka 19 jela.


Kimario alisema mshtakiwa alikutwa na makosa 19 ambapo kila kosa amemhukumu kwenda jela mwaka mmoja na jumla yake kutumikia miaka 19.


Hakimu huyo alisema mshtakiwa alitenda kosa la wizi kinyume na sheria ya kanuni ya adhabu namba 258(1) na 265 cha sheria ya kanuni ya adhabu sura ya 16 iliyofanyiwa marejeo mwaka 2019.


Alipopewa nafasi ya kujitetea mshtakiwa alisema anaomba aachiwe huru kwa kuwa ana familia kubwa inamtegemea.



Credit: MPEKUZI

Thanks for your time please share with your friends
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: Ahukumiwa Miaka 19 Jela Kwa Kosa La Wizi Wa Fedha Mtandaoni
Ahukumiwa Miaka 19 Jela Kwa Kosa La Wizi Wa Fedha Mtandaoni
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjzWU15d5YNU4bQioFJ66axLYRP3IzT6un_ZIHbix81IOMG9LeG4xF505d_J07V5akHP8QJGhzuDrY96XIy3rHyFyTIaCEP-F7BVVn3pYXvg5Zu6gkp_CsMFjJJmXtW7xSFWIkss-zJhjrNBF4jmM1NYXSafF2oM9vkNGG6lq_Rj4Hm6aILa8Mi036VKg/s16000/1.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjzWU15d5YNU4bQioFJ66axLYRP3IzT6un_ZIHbix81IOMG9LeG4xF505d_J07V5akHP8QJGhzuDrY96XIy3rHyFyTIaCEP-F7BVVn3pYXvg5Zu6gkp_CsMFjJJmXtW7xSFWIkss-zJhjrNBF4jmM1NYXSafF2oM9vkNGG6lq_Rj4Hm6aILa8Mi036VKg/s72-c/1.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2022/03/ahukumiwa-miaka-19-jela-kwa-kosa-la.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2022/03/ahukumiwa-miaka-19-jela-kwa-kosa-la.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy