Marufuku Kuchangisha Fedha Ujenzi Wa Madarasasa-Waziri Ummy
HomeHabari

Marufuku Kuchangisha Fedha Ujenzi Wa Madarasasa-Waziri Ummy

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa Mhe Ummy Mwalimu amepiga marufuku wananchi kuachangishwa fedha kwa ajili ya ujenzi wa Madara...

Waziri Kijaji:serikali Itaendelea Kuliwezesha Shirika La NDC
RAIS SAMIA: Serikali Itajenga Stendi na Soko Lamadi
Habari Zilizopo Katika Magazeti Ya Leo February 6


Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa Mhe Ummy Mwalimu amepiga marufuku wananchi kuachangishwa fedha kwa ajili ya ujenzi wa Madarasa yanayojengwa na fedha zilizotolewa kwa ajili ya UVIKO 19

Ametoa agizo hilo jana  wakati akikagua miradi ya maendeleo inayotekelezwa na Halmashauri ya Wilaya ya Iringa Mkoani Iringa

Ameendelea kufafanua kuwa Serikali haikatazi wananchi kuchangia nguvu kazi kwa kuwa wamekuwa wakijitoa katika kutekeleza miradi ya maendeleo ili kuunga mkono juhudi za Seikali katika kuleta maendeleo

Amesema kuwa ujenzi wa Madarasa kwa fedha za UVICO 19 zimeletwa za kutosha na zinajitosheleza hadi kukamilika kwa ujenzi huo hivyo wananchi wasilazimishwe kuchangia fedha za ujenzi huo

Waziri Ummy amesema kuwa anashangazwa na maelezo ya Halmashauri ya Wilaya ya Iringa ya kuwatoza wananchi shilingi 5000 kwa ajili ya kuchangia ujenzi wa Madarasa hayo

"Fedha zilizotolewa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan kwa ajili ya ujenzi wa Madarasa l ya kidato cha kwanza zinajitosheleza hadi ukamilishaji wake, inanishangaza ninyi mnawataka wananchi wachangie, naagiza ni Marufuku kwa wananchi kuchangishwa fedha kwa ajili ya ujenzi ' Waziri Ummy

Ameendelea kusema kuwa wananchi wanatakiwa kuchangia nguvukazi kwa kusaidia kuchimba msingi, kubeba mawe, kuchota maji, kusogeza mchanga na kubeba matofali, na sio kutozwa fedha

Aidha, uchangiaji wa mwananchi si lazima bali ni ihari na pia wananchi kwa hiari yao wanaweza kuchangia vifaa vya ujenzi kadri watakavyoona inafaa lakini sio kulazimishwa kuchangishwa pesa.



Credit: MPEKUZI

Thanks for your time please share with your friends
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: Marufuku Kuchangisha Fedha Ujenzi Wa Madarasasa-Waziri Ummy
Marufuku Kuchangisha Fedha Ujenzi Wa Madarasasa-Waziri Ummy
https://blogger.googleusercontent.com/img/a/AVvXsEgno4iH7QQeVcY4ff0bkmPHHfGPDiALEjibY0QptQ3WZw6Dw7fsD6W-Uv56yDq6DsNLMz_ipIRBHpjdtXsuCyoIEwpvHmArfd6vp5kLMpdjwCqRTwi8DB-VkoldSN_7Um7guQtySAO9pcu3WMxYRwllj3eHXDKNDysBNukjYPA371XCgvl_B1lZp-mErQ=s16000
https://blogger.googleusercontent.com/img/a/AVvXsEgno4iH7QQeVcY4ff0bkmPHHfGPDiALEjibY0QptQ3WZw6Dw7fsD6W-Uv56yDq6DsNLMz_ipIRBHpjdtXsuCyoIEwpvHmArfd6vp5kLMpdjwCqRTwi8DB-VkoldSN_7Um7guQtySAO9pcu3WMxYRwllj3eHXDKNDysBNukjYPA371XCgvl_B1lZp-mErQ=s72-c
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/11/marufuku-kuchangisha-fedha-ujenzi-wa.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/11/marufuku-kuchangisha-fedha-ujenzi-wa.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy