Mwandishi wa riwaya Zanzibar Abdulrazak Gurnah ashinda Tuzo ya Nobel katika Fasihi 2021
HomeHabari

Mwandishi wa riwaya Zanzibar Abdulrazak Gurnah ashinda Tuzo ya Nobel katika Fasihi 2021

Mwandishi wa vitabu vya  riwaya na hadithi fupi fupi  kutoka nchini Tanzania Abdulrazak Gurnah  ndio mshindi wa mwaka huu wa tuzo ya Nobel...

Uhusiano Kati Ya Punyeto Na Kusinyaa Kwa Maumbile Ya Kiume
Tangazo la Kuitwa Kwenye Usaili NHC,TANESCO,ARDHI & SOLICITOR
Madaktari Watakiwa Kuzingatia Maadili Ya Taaluma

Mwandishi wa vitabu vya  riwaya na hadithi fupi fupi  kutoka nchini Tanzania Abdulrazak Gurnah  ndio mshindi wa mwaka huu wa tuzo ya Nobel ya Fasihi.

Kamati inayotoa tuzo hiyo imemtangaza Gurnah kuwa mshindi wa tuzo hiyo kufuatia kazi yake ya uandishi kuhusu athari za ukoloni na hatima ya wakimbizi katika eneo la ghuba, baina ya tamaduni na mabara.


Mzaliwa wa Visiwani Zanzibar aliwasili Uingreza kama mkimbizi katika miaka ya mwisho ya 1960 na kuwa Profesa katika Chuo Kikuu cha Kent, amechapisha riwaya 10 na hadithi fupi fupi kadhaa.

Hata hivyo, kazi yake iliyomtambua, ni riwaya aliyoandika mwaka 1994 na kuipa jina Paradise, kuelezea hali ya ukoloni katika eneo la Afrika Mashariki wakati wa vita vya kwanza vya dunia.

Akimtangaza mshindi wa tuzo hiyo ya nobel kuhusu fasihi, Mwenyekiti wa Kamati ya Nobel Anders Olsson, amemtaja Gurnah mwenye umri wa miaka 73, kama Mwandishi mahiri baada ya nchi za Afrika kupata uhuru.

Tangu tuzo ya kwanza kutolewa mwaka 1901, kwa asilimia 80, waliopata tuzo hii ya Fasihi, wamekuwa ni Wazungu wanaotokea barani Ulaya na America Kaskazini.

Tuzo hii inakuja na Dola Milioni 1.4 na Gurnah atakabidhiwa fedha hizo kutoka kwa Kamati hiyo ya Nobel kutoka nchini Sweden.




Credit: MPEKUZI

Thanks for your time please share with your friends
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: Mwandishi wa riwaya Zanzibar Abdulrazak Gurnah ashinda Tuzo ya Nobel katika Fasihi 2021
Mwandishi wa riwaya Zanzibar Abdulrazak Gurnah ashinda Tuzo ya Nobel katika Fasihi 2021
https://blogger.googleusercontent.com/img/a/AVvXsEgDpV6uEPhoe3YceDTYxjo7taOmQ-e0N6Zxr3JXHlwJ-zMdvXj4B-GGaKlSOmYoqx8r_OdslIaNLjSZHF8q1tIjzNBbz6kHCxIDzxzLQqUfzSYkegGHUbYxuKakTDdjFHG6DWNzVqwV4NZlzCZJBp113x8ftNpz76GIQZl-SU6heuNnT1PnxN6DwykGlA=s16000
https://blogger.googleusercontent.com/img/a/AVvXsEgDpV6uEPhoe3YceDTYxjo7taOmQ-e0N6Zxr3JXHlwJ-zMdvXj4B-GGaKlSOmYoqx8r_OdslIaNLjSZHF8q1tIjzNBbz6kHCxIDzxzLQqUfzSYkegGHUbYxuKakTDdjFHG6DWNzVqwV4NZlzCZJBp113x8ftNpz76GIQZl-SU6heuNnT1PnxN6DwykGlA=s72-c
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/10/mwandishi-wa-riwaya-zanzibar-abdulrazak.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/10/mwandishi-wa-riwaya-zanzibar-abdulrazak.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy