KOCHA wa timu ya taifa ya Madagascar amesema kuwa walifanya makosa kwenye mchezo huo jambo lililowagharimu na kuwafanya wapoteze kwa kufungw...
KOCHA wa timu ya taifa ya Madagascar amesema kuwa walifanya makosa kwenye mchezo huo jambo lililowagharimu na kuwafanya wapoteze kwa kufungwa mabao 3-2 dhidi ya Tanzania katika mchezo wa kuwania kufuzu Kombe la Dunia uliochezwa Uwanja wa Mkapa na ameweka wazi kuwa wachezaji wa Stars walikuwa bora na walicheza mchezo wa kujilinda zaidi.
Credit: SALEH JEMBE
Please subscribe to get all sports news instantly
Credit: SALEH JEMBE
Please subscribe to get all sports news instantly
COMMENTS