SPURS YAMPA HASIRA KEANE
HomeMichezo

SPURS YAMPA HASIRA KEANE

  MCHAMBUZI wa masuala ya michezo, Roy Keane amesema kuwa kwa sasa Klabu ya Tottenham inamshangaza kutokana na kuwa mbovu katika masuala ...

YANGA YAIFUNIKA SIMBA KATIKA ISHU YA USAJILI, NDANI YA CHAMPIONI JUMATANO
SAUTI: MAKAMBO AAHIDI MAKUBWA YANGA,KUWAJAZA KAMA KAWAIDA
TROY DEENEY MALI YA BIRMIGHAM

 


MCHAMBUZI wa masuala ya michezo, Roy Keane amesema kuwa kwa sasa Klabu ya Tottenham inamshangaza kutokana na kuwa mbovu katika masuala ya kuwa na tamaa ya kusaka ushindi jambo linalompa hasira katika kuitazama.

Jumapili ya Septemba 19, ubao wa Uwanja wa Tottenham Hotspur baada ya dakika 90 ulisoma Tottenham 0-3 Chelsea ilikuwa ni katika mchezo wa Ligi Kuu England.

Wakati Chelsea ikisepa na pointi tatu mazima ilikuwa ni Thiago Silva alipachika bao la kwanza dakika ya 49, N'Golo Kante alipachika bao la pili dakika ya 57 na lile la tatu lilipachikwa na Antonio Rudiger dakika ya 90.

Keane amesema kuwa ameshangazwa na Tottenham kupoteza kwa mabao hayo ikiwa nyumbani jambo ambalo linatokana na kutokuwa na tamaa ya kutaka kufunga.

"Sitaki kuamini kwamba Spurs wamekuwa ni wabaya kiasi hiki. Unaweza ukawa katika siku mbaya na muda mwingine unapoteza ule ubora lakini hawa wamepoteza kabisa tamaa ya kusaka bao.

"Ninajiskia hasira kuitazama Spurs leo. Tofauti katika tamaa ya kusaka ushindi imekuwa ikionekana tofauti wapo chini kabisa, ".

Kwenye Ligi Kuu England kinara ni Chelsea akiwa na pointi 13 huku Spurs ikiwa nafasi ya 7 na ina pointi 9.



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: SPURS YAMPA HASIRA KEANE
SPURS YAMPA HASIRA KEANE
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEj5chQCE5srH5HcnJenymIbPKCL_6ap34u_dPFf61p78qe8QfANXtXYqlgJIsBkJj3HiEy6Lbk5TZK_kA3oqxkKD7JqKpC8LNiYRb9tpykq0VzWtC7-AbPNucYbi-Q5CgNfGlCvHdXSk3M2/w508-h640/Screenshot_20210921-055020_Instagram.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEj5chQCE5srH5HcnJenymIbPKCL_6ap34u_dPFf61p78qe8QfANXtXYqlgJIsBkJj3HiEy6Lbk5TZK_kA3oqxkKD7JqKpC8LNiYRb9tpykq0VzWtC7-AbPNucYbi-Q5CgNfGlCvHdXSk3M2/s72-w508-c-h640/Screenshot_20210921-055020_Instagram.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/09/spurs-yampa-hasira-keane.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/09/spurs-yampa-hasira-keane.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy