Serikali Kutumia Bilioni 53.6 Kukamilisha Ujenzi Wa Hospital Za Wilaya 67
HomeHabari

Serikali Kutumia Bilioni 53.6 Kukamilisha Ujenzi Wa Hospital Za Wilaya 67

 Na. Angela Msimbira KIBITI Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Ummy Mwalimu amesema jumla ya shilingi ...

Njia ya Güler kuelekea Ligi Kuu mpambano mkali
Madam Rita, ameutambulisha msimu wa 15 wa mashindano ya BSS
Habari kubwa Magazetini Kenya leo October 25, 2024

 Na. Angela Msimbira KIBITI
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Ummy Mwalimu amesema jumla ya shilingi bilioni 53.6 zitatolewa na Serikali kwa ajili ya kukamilisha ujenzi wa Hospitali za Wilaya 67 zilizojengwa nchini.

Ameyasema hayo leo wakati alipokuwa akikagua ujenzi wa Hospiatali ya Wilaya ya Kibiti katika ziara ya kikazi aliyoifanya katika, Halmashauri ya Wilaya ya Kibiti Mkoani Pwani kwa ajili ya kukagua miradi ya maendeleo inayotekelezwa katika Halmashauri hiyo


Waziri Ummy amesema kuwa katika kuhakikisha Hospitali za Wilaya zilizojengwa katika awamu ya kwanza zinakamilika serikali imetenga kiasi cha shilingi milioni 800 kwa kila Hospitali ya Wilaya lengo likiwa ni kukamilisha miundombinu ya majengo katika hospitali hizo

Ameendelea kufafanua kuwa katika awamu ya kwanza ya ujenzi serikali ilipeleka fedha kiasi cha shilingi bilioni 1. 5 kwa ajili ya ujenzi wa majengo saba ya awali, kisha shilingi milioni 300 na sasa shilingi milioni 800 kwa ajili ya ukamilishaji wa miundombinu hiyo ili wananchi waweze kupata huduma bora za afya katika maeneo yao.

Aidha, amesema kuwa Serikali imejipanga katika kuhakikisha vifaa na vifaa tiba vinapatikana kwa wakati ili wananchi waweze kuzitumia Hospitali zetu kikamilifu kwa kuhakikishiwa kuwa huduma bora zinapatikana katika Hospitali za Serikali

Kuhusu uhaba wa watumishi Waziri Ummy amewaagiza Makatibu Tawala wa Mkoa wote nchini kuhakikisha wanafanya msawazo kwa watumishi wote wakiwemo wa sekta ya afya ili kupunguza uhaba wa watumishi katika maeneo yao



Credit: MPEKUZI

Thanks for your time please share with your friends
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: Serikali Kutumia Bilioni 53.6 Kukamilisha Ujenzi Wa Hospital Za Wilaya 67
Serikali Kutumia Bilioni 53.6 Kukamilisha Ujenzi Wa Hospital Za Wilaya 67
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhv9HXPkUrc6h06lujN4Yb7PdbsA68_p9OULwxqRxFAssgd-UjFp-LxmnPvtLnZ6P_lj-ceDQjZVHKbIaC-iTn6GT1iPdBrXaE0WnqsEUkzNgUBjdiOzLsDBzD1Js-oHKu0MmEteL2glDNA/s0/1.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhv9HXPkUrc6h06lujN4Yb7PdbsA68_p9OULwxqRxFAssgd-UjFp-LxmnPvtLnZ6P_lj-ceDQjZVHKbIaC-iTn6GT1iPdBrXaE0WnqsEUkzNgUBjdiOzLsDBzD1Js-oHKu0MmEteL2glDNA/s72-c/1.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/09/serikali-kutumia-bilioni-536.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/09/serikali-kutumia-bilioni-536.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy