HomeHabariTop Stories

Madam Rita, ameutambulisha msimu wa 15 wa mashindano ya BSS

Chief Judge wa Bongo Star Search na Mkurugenzi wa kampuni ya Benchmark Productions Madam Rita, ameutambulisha msimu wa 15 wa mashindano hayo...

Chief Judge wa Bongo Star Search na Mkurugenzi wa kampuni ya Benchmark Productions Madam Rita, ameutambulisha msimu wa 15 wa mashindano hayo ya kusaka vipaji vya wasanii wanaopatikana kutoka miji tofauti tofauti nchini ya Bongo Star Search..

Madam Rita amesema huu utakua msimu wa kitofauti na mwingine Sababu wanaenda International ambayo ni Kenya, Uganda, Congo Rwanda na Burundi huko kote wakienda kutafuta vipaji.

 

Katika utambulisho wa msimu huo MPYA mgeni Rasmi Alikuwa Katibu wa Baraza la Sanaa la Taifa Dkt Mapana na wamemtambulisha producer S2kzy kama guest jaji huku Salama, Master Jay na Madam Rita wa Kibaki Majaji wa kawaida n kwa upande wa host akiwa ni Idriss na Meena Ally

 

#millardayoENT

The post Madam Rita, ameutambulisha msimu wa 15 wa mashindano ya BSS first appeared on Millard Ayo.



from Millard Ayo https://ift.tt/5vKoeA9
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: Madam Rita, ameutambulisha msimu wa 15 wa mashindano ya BSS
Madam Rita, ameutambulisha msimu wa 15 wa mashindano ya BSS
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2024/10/madam-rita-ameutambulisha-msimu-wa-15.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2024/10/madam-rita-ameutambulisha-msimu-wa-15.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy