MOLINGA AWAPIGA MKWARA MABOSI WAKE
HomeMichezo

MOLINGA AWAPIGA MKWARA MABOSI WAKE

  MSHAMBULIAJI mpya wa Namungo, David Molinga ‘Falcao’ ametamba kuwa amejipanga kufanya vizuri katika msimu ujao wa Ligi Kuu Bara hususani...

NYOTA AZAM FC KUIBUKIA KMC
MANCHESTER CITY KUMCHUKUA RONALDO MAZIMA
MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI IJUMAA

 MSHAMBULIAJI mpya wa Namungo, David Molinga ‘Falcao’ ametamba kuwa amejipanga kufanya vizuri katika msimu ujao wa Ligi Kuu Bara hususani atakapokutana na waajiri wake wa zamani Klabu ya Yanga.

 

Molinga alikamilisha usajili wake wa kujiunga na Namungo na kutangazwa rasmi Septema Mosi, mwaka huu akitokea kwa mabingwa wa Ligi Kuu ya Zambia Klabu ya Zesco United, aliyoichezea msimu uliopita.

 

Mkongomani huyo amewahi kuichezea Yanga kwa msimu wa 2019/20, ambapo alimaliza msimu huo akiwa mfungaji bora wa Yanga kufuatia kutupia kambani mabao 12.

 

Akizungumza na Championi JumatatuMolinga alisema: “Ni jambo zuri kwangu kurejea tena na kucheza soka Tanzania, kwangu nchi hii ni kama nyumbani kwangu na nimefarijika sana kujiunga na Namungo. Deni kubwa ambalo ninalo ni kuhakikisha naonyesha uwezo mkubwa na kuwathibitishia viongozi wa Namungo kuwa hawakukosea kuniamini.

 

“Natarajia msimu ujao utakuwa mgumu kutokana na maandalizi ya kila timu ikiwemo suala la usajili, lakini kama mchezaji nimejipanga kuhakikisha nafanya vizuri kwenye kila mchezo hususani pale nitakapokutana dhidi ya waajiri wangu wa zamani Yanga,” alisema mchezaji huyo mwenye mwili nyumba.



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: MOLINGA AWAPIGA MKWARA MABOSI WAKE
MOLINGA AWAPIGA MKWARA MABOSI WAKE
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiGkkG_8Wa0TLs7AWHRF5VV3W-KiE5KS09admR6LCHh8Ykwf1JOzsew-Qa_wuWRQ_9PmJ2ZqdKV2hedtuYjBsuqh4Lw-0ylk5cRY83OI5xKyOb2GiLOV7KoQCYmYUyWB5dToeDRw5ddJXnO/w640-h360/Molinga.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiGkkG_8Wa0TLs7AWHRF5VV3W-KiE5KS09admR6LCHh8Ykwf1JOzsew-Qa_wuWRQ_9PmJ2ZqdKV2hedtuYjBsuqh4Lw-0ylk5cRY83OI5xKyOb2GiLOV7KoQCYmYUyWB5dToeDRw5ddJXnO/s72-w640-c-h360/Molinga.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/09/molinga-awapiga-mkwara-mabosi-wake.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/09/molinga-awapiga-mkwara-mabosi-wake.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy