MICHEZO YA KLABU BINGWA KUCHEZWA WIKI HII
HomeMichezo

MICHEZO YA KLABU BINGWA KUCHEZWA WIKI HII

Ni mzungo wa pili kunako hatua ya makundi kwenye Ligi ya Mabingwa – Uefa . Safari ya kufuzu hatua ya 16 Bora huanzia kwenye hatua hii, na...

VIDEO; OSCAR OSCAR ABAINISHA MALENGO YAKE ATAKAPOWANIA URAIS, AITAJA FIFA
MRWANDA AWAPA TAHADHARI YANGA ISHU YA UBINGWA
JINA LA MSUVA WA MOROCCO LATAJWA KWENYE USAJILI YANGA


Ni mzungo wa pili kunako hatua ya makundi kwenye Ligi ya Mabingwa – Uefa. Safari ya kufuzu hatua ya 16 Bora huanzia kwenye hatua hii, nani atajiweka kwenye nafasi nzuri zaidi?

 

FC Porto kuchuana na Liverpool. Timu hizi zinahistoria ya kutwaa ubingwa wa mashindano ya Ligi ya Mabingwa. Kwa miaka 10 ambayo timu hizi zimeshakutana, Liverpool wameshinda mara 5, Porto wameshinda mara 1 na wametoka sare mara 3.

 

 Hii ni jumla ya michezo 9 waliyokutana ndani ya miaka 10. Jumanne hii itakuaje? Ifuate Odds ya 1.80 kwa Liverpool ndani ya Meridianbet.

 

Umwamba wa pesa, sasa kuwekwa kwenye umwamba wa soka ndani ya uwanja. Ni PSG vs Manchester City. Pochettino vs Guardiola, hapa Kylian Mbappe, kule Phil Foden

 

Huu ni mchezo ambao Messi anakwenda kukutana na klabu aliyohusishwa nayo kabla ya kuichagua PSG

 

Hizi ni timu ambazo zinamachungu na mashindano ya Uefa. Zote zimefika fainali lakini zimeshindwa kutwaa ubingwa, msimu huu itakuaje? Odds ya 2.35 ipo kwa City kupitia Meridianbet.


Juventus kuwaalika Chelsea katika mchezo wa kundi H. Juve ataingia uwanjani akiwa ametoka kushinda mchezo wa Serie A huku The Blues wakiwa na maumivu ya kupoteza mchezo wa kwanza kwenye EPL. Hakika, maumivu kupambana na motisha, dakika 90 zitaamua. Chelsea amepatiwa Odds ya 2.00 ukibashiri na Meridianbet.

 

Kwenye Europa League alhamisi hii, Ludogorets kuchuana na Crvena Zvezda. Katika michezo 2 waliyokutana awali, Ludogorets ameshinda mara 1 na wametoka sare mara 1. Ifuate Odds ya 2.55 kwa Zvezda ndani ya Meridianbet.

Tengeneza faida kwa kuwafuata Chelsea, Zvezda, City na Liverpool ndani ya Meridianbet!

 



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: MICHEZO YA KLABU BINGWA KUCHEZWA WIKI HII
MICHEZO YA KLABU BINGWA KUCHEZWA WIKI HII
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjY6F3-acGpMHcVee_b_uFWsedhW1lKJxMwdya8gYKg7j4eZ_EJLV9cPZ7ei61QeYSX0S1BJtEWTFpbHdLrZfGuCEEKd83YeykzBOl0LKx_C_MWvwjjmDur2_UtcQ1KB4xwR8q-4cYHFDgN/w640-h428/Manchester-City-Squad-2020.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjY6F3-acGpMHcVee_b_uFWsedhW1lKJxMwdya8gYKg7j4eZ_EJLV9cPZ7ei61QeYSX0S1BJtEWTFpbHdLrZfGuCEEKd83YeykzBOl0LKx_C_MWvwjjmDur2_UtcQ1KB4xwR8q-4cYHFDgN/s72-w640-c-h428/Manchester-City-Squad-2020.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/09/michezo-ya-klabu-bingwa-kuchezwa-wiki.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/09/michezo-ya-klabu-bingwa-kuchezwa-wiki.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy