YANGA YATUMA UJUMBE KWA SIMBA
HomeMichezo

YANGA YATUMA UJUMBE KWA SIMBA

 UONGOZI wa Yanga umeweka wazi kwamba kuelekea mchezo wao wa kesho dhidi ya Simba wapo tayari na wanaamini kwamba watapata matokeo chanya....

MAJINA YA WALIOPITISHWA KUGOMBEA TFF HADHARANI LEO
VIDEO: MANJI, GSM RASMI YANGA, KASI YAO TISHIO KWA SIMBA, KIKWETE ABARIKI
SIMULIZI YA BINTI ALIYEKUWA AKIFANYA KAZI SALON NAMNA ALIVYOPATA MFADHILI

 UONGOZI wa Yanga umeweka wazi kwamba kuelekea mchezo wao wa kesho dhidi ya Simba wapo tayari na wanaamini kwamba watapata matokeo chanya.

Ikiwa inanolewa na Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi,ipo nafasi ya pili na pointi zake ni 67 inakutana na Simba iliyo nafasi ya kwanza na pointi 73.

Ofisa Uhamasishaji wa Yanga, Antonio Nugaz amesema kuwa kikosi kipo imara na wanaamini kwamba watapata matokeo ila jambo la msingi ni kwa mashabiki kujitokeza kwa wingi kuwapa sapoti.

"Mechi itakuwa ngumu na ushindani ni mkubwa ila tupo tayari na tunachohitaji ni kupata ushindi kwani kila kitu kinawezekana.

"Jambo la msingi ni kuona kwamba lazima wapinzani wetu wanakuja katika muda uliopangwa, sisi tupo tayari," amesema.

Mchezo wa kwanza ulitarajiwa kuchezwa Mei 8 uliyeyuka baada ya kutokea mabadiliko ghafla ya muda ambapo awali ilipangwa kuchezwa saa 11:00 jioni taarifa ikatolewa kwamba utachezwa saa 1:00 usiku.

Kutokana na jambo hilo, Yanga iligomea mabadiliko hayo kwa kueleza kuwa ni kinyume na kanuni.



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: YANGA YATUMA UJUMBE KWA SIMBA
YANGA YATUMA UJUMBE KWA SIMBA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhBf-coVcIQPQ28iFa9zRHdr_xaI_RX-az9C1oz13WCW4PgCcjRMrJRPiHRNTADCiwtesOKSfGy2moEaAe-3bXH1HgK99e8qqlXvDdwvARjMeYRq7ZuMXfHoheRmPRQTo4w6J_Lnh378oq_/w550-h640/Wazir+huyo+wa+kushoto.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhBf-coVcIQPQ28iFa9zRHdr_xaI_RX-az9C1oz13WCW4PgCcjRMrJRPiHRNTADCiwtesOKSfGy2moEaAe-3bXH1HgK99e8qqlXvDdwvARjMeYRq7ZuMXfHoheRmPRQTo4w6J_Lnh378oq_/s72-w550-c-h640/Wazir+huyo+wa+kushoto.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/07/yanga-yatuma-ujumbe-kwa-simba.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/07/yanga-yatuma-ujumbe-kwa-simba.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy