MZEE Mpili shabiki wa Yanga amesema kuwa anashukuru kwa kupewa ahadi yake na Ofisa Habari wa Simba, Haji Manara kwa kuweka wazi kwamba mpira...
MZEE Mpili shabiki wa Yanga amesema kuwa anashukuru kwa kupewa ahadi yake na Ofisa Habari wa Simba, Haji Manara kwa kuweka wazi kwamba mpira sio uadui.
Credit: SALEH JEMBE
Please subscribe to get all sports news instantly
Ikumbukwe kwamba Manara alimuahidi milioni mja Mzee Mpili ikiwa Yanga ingeshinda mbele ya Simba, Julai 3 mwisho wa siku ubao wa Uwanja wa Mkapa ulisoma Simba 0-1 Yanga.
Shabiki huyo wa Yanga amesema kuwa ameambiwa na Haji kwamba atamwambia tajiri injinia Hersi akatiwe tiketi ya ndege kuelekea mchezo wa Kombe la Shirikisho ambao ni wa fainali unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Lake Tanganyika, Kigoma, Julai 25 katika hilo Manara alipigilia msumari wa mwisho kwa kubainisha kwamba atamwambia Injinia afanye hivyo.
Credit: SALEH JEMBE
Please subscribe to get all sports news instantly
COMMENTS