COASTAL UNION YAWEKA WAZI HESABU ZAO MSIMU MPYA
HomeMichezo

COASTAL UNION YAWEKA WAZI HESABU ZAO MSIMU MPYA

 UONGOZI  wa Coastal Union umeweka wazi kuwa kwa sasa upo kambini kwa ajili ya maandalizi ya msimu wa 2021/22. Ofisa Habari wa Coastal Un...

MABOSI YANGA WANA IMANI KUBWA NA NABI,WAMPA MUDA
VIDEO:CHEKI NAMNA MATIZI YA MAKIPA SIMBA YALIVYOKUWA CHINI YA MBRAZIL
KOCHA MTIBWA SUGAR AOMBA WIKI MBILI

 UONGOZI  wa Coastal Union umeweka wazi kuwa kwa sasa upo kambini kwa ajili ya maandalizi ya msimu wa 2021/22.

Ofisa Habari wa Coastal Union, Miraji Wandi ameweka wazi kuwa kila kitu kinakwenda sawa na wanaamini kwamba watafanya vizuri kwa msimu ujao.

"Tumejipanga vizuri kwa ajili ya msimu ujao na tunahitaji kuona kwamba matokeo ambayo tutapata yatakuwa ni mazuri kwetu.

"Kikubwa ni kuona kwamba tunamaliza msimu katika nafasi nzuri hatuhitaji kuona timu inakuwa kwenye presha ya kutaka kushuka daraja," amesema.

Msimu wa 2020/21 timu hiyo iliweza kucheza play off na timu ya Pamba FC inayoshiriki Ligi Daraja la Kwanza na iliweza kushinda jambo ambalo limeifanya iwe na uhakika wa kubaki ndani ya ligi msimu ujao.

Haikuwa kwenye mwendo mzuri kwa kile ambacho Juma Mgunda aliyekuwa Kocha Mkuu zama hizo kwa sasa ni Mkurugenzi wa Benchi la Ufundi kwa kueleza kuwa waliwakosa nyota wao muhimu katika kikosi hicho ikiwa ni pamoja na Bakari Mwamnyeto ambaye aliibukia Yanga pamoja na Ibrahim Ame ambaye aliibukia Simba.

Usajili ambao wameufanya kwa sasa ni pamoja na ule wa Kocha Mkuu ambapo wanaye Melis Medo raia wa Marekani pia kipa ni yule Mussa Mbissa ambaye alikuwa ndani ya Mwadui FC.

Jana Septemba 9 timu hiyo ilicheza mchezo wa ndani na Simba kwa ajili ya maandalizi ya msimu mpya na ngoma ilikuwa 0-0.



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: COASTAL UNION YAWEKA WAZI HESABU ZAO MSIMU MPYA
COASTAL UNION YAWEKA WAZI HESABU ZAO MSIMU MPYA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgFTncyGtQbrrpYOngQ2L8tZK3VuUq5w4rWmAlYVATzS3F1dVWhfE6i5M5NZpfYGOGYeenazpAU8nhOpA3gCWdWO-rcaa2wyNJ6Fz4ZF4XGSrv_JYj3hqes1msVVxx9ipv4a_tV-84aUDMd/w640-h426/coastalunionfc-241431943_552967779369727_5129092441176584198_n.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgFTncyGtQbrrpYOngQ2L8tZK3VuUq5w4rWmAlYVATzS3F1dVWhfE6i5M5NZpfYGOGYeenazpAU8nhOpA3gCWdWO-rcaa2wyNJ6Fz4ZF4XGSrv_JYj3hqes1msVVxx9ipv4a_tV-84aUDMd/s72-w640-c-h426/coastalunionfc-241431943_552967779369727_5129092441176584198_n.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/09/coastal-union-yaweka-wazi-hesabu-zao.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/09/coastal-union-yaweka-wazi-hesabu-zao.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy