LIVERPOOL YAANZA KWA USHINDI, SALAH AWEKA REKODI
HomeMichezo

LIVERPOOL YAANZA KWA USHINDI, SALAH AWEKA REKODI

LIVERPOOL imeanza Ligi Kuu England kwa kusepa na pointi tatu mazima mbele ya Norwich na kumfanya Kocha Mkuu, Jurgen Klopp kuwapongeza vija...

MSIMAMO WA LIGI KUU TANZANIA BARA UPO NAMNA HII
SHIKALO KUPIGWA CHINI YANGA, MBADALA WAKE KUTOKA TUNISSIA
SUALA LA BWALYA KUTUA SIMBA MAMBO YAPO NAMNA HII

LIVERPOOL imeanza Ligi Kuu England kwa kusepa na pointi tatu mazima mbele ya Norwich na kumfanya Kocha Mkuu, Jurgen Klopp kuwapongeza vijana wake kwa matokeo hayo.

Baada ya dakika 90 ubao wa Uwanja wa Caroww Road ulisoma Norwich 0-3 Liverpool na nyota wa mchezo akiwa ni raia wa Misri, Mohamed Salah ambaye aliweza kuonyesha uwezo mkubwa ndani ya uwanja.

Alitupia bao moja na kutoa pasi mbili ambapo alifunga dakika ya 74 Diogo Jota alitupia dk ya 26 na Roberto Firmino  dk 65. Salah anafanikiwa kufunga kwenye jumla ya mechi tano kwenye misimu mitano mfululizo katika mechi za ufunguzi.


Rekodi zionyesha kuwa alianza kufanya hivyo msimu wa 2017/18 mbele ya Watford alitupia bao moja, 2018/19 West Ham United bao moja, 20019/20 Norwich aliwafunga bao moja, 2020/21 Leeds aliwafunga mabao matatu na msimu wa 2021/22 alitupia bao moja.

 Inakuwa ni wiki nzuri kwa Liverpool kupata ushindi huo mbele ya Norwich ambao wameshindwa kupata furaha kama ilivyotokea kwa timu Brentford na Watford ambazo zilianza kwa ushindi


 Kureja kwa  Virgil van Dijk kwa muda katika mechi za mashindano baada ya miezi 10 kunaongeza nguvu kwenye kikosi hicho katika upande wa ulinza,

 



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: LIVERPOOL YAANZA KWA USHINDI, SALAH AWEKA REKODI
LIVERPOOL YAANZA KWA USHINDI, SALAH AWEKA REKODI
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhtdtYSp4dts1SRpmHUzWY5kOflXg_lyCGVK0Zdre3fz53ECSztkD7iFwZJnweE5LVewnHi48bocNlwjrPibwFm5MYrDcrzAxfU2HJ7qwNShzu7ePqIb3KW2Xi1ft-KFshz-Gx_f04gOmR2/w640-h360/Liverpool+ushindi.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhtdtYSp4dts1SRpmHUzWY5kOflXg_lyCGVK0Zdre3fz53ECSztkD7iFwZJnweE5LVewnHi48bocNlwjrPibwFm5MYrDcrzAxfU2HJ7qwNShzu7ePqIb3KW2Xi1ft-KFshz-Gx_f04gOmR2/s72-w640-c-h360/Liverpool+ushindi.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/08/liverpool-yaanza-kwa-ushindi-salah.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/08/liverpool-yaanza-kwa-ushindi-salah.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy