Taarifa Ya Kikao Cha Kamati Kuu Ya Ccm Maalum Iliyoketi Julai 29,2021,ikulu Jijini Dar Es Salaam
HomeHabari

Taarifa Ya Kikao Cha Kamati Kuu Ya Ccm Maalum Iliyoketi Julai 29,2021,ikulu Jijini Dar Es Salaam

Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa imekutana katika kikao maalumu Alhamisi 29 Julai, 2021 Ikulu Jijini Dar ...

Tanzania kupeleka timu 4 kimataifa Msimu Ujao wa 2021/2022
VIDEO: Lady Jaydee – I Love MySelf
Rais Samia Awaapisha Viongozi Wawili Ikulu Chamwino Jijini Dodoma


Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa imekutana katika kikao maalumu Alhamisi 29 Julai, 2021 Ikulu Jijini Dar es Salaam chini ya Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu Samia Suluhu Hassan.

Pamoja na mambo mengine Kamati Kuu imempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan kwa uamuzi wa kuruhusu chanjo ya virusi vya ugonjwa wa korona (UVIKO 19) Kutolewa nchini na yeye kuwa mfano wa  kukubali kuchanjwa ikiwa ni udhibitisho wa usalama wa chanjo hiyo.

Uamuzi wake umetajwa kuwa ni kielelezo cha upendo na uzalendo mkubwa alionao katika kujali afya za watanzania na ni hatua nzuri ya Tanzania kuungana na dunia katika kukabiliana dhidi ya UVIKO-19, pia ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa Ilani ya uchaguzi ya CCM ya Mwaka 2020 - 2025 Ibara ya 83(o) na 84.

Kamati Kuu imeelekeza kuanza kuchukuliwa hatua kwa wale wote wanaokiuka mienendo, taratibu na kanuni za maadili na uongozi kwa mujibu wa katiba ya Chama Cha Mapinduzi.

Aidha Kamati Kuu imefanya uteuzi wa makatibu wakuu wa Jumuiya za Chama Cha Mapinduzi ambapo Ndugu Gilbert Kalima Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi Tanzania na Dkt. Philis Nyimbi Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake wa CCM Tanzania  (UWT).

Shaka Hamdu Shaka
Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa
Itikadi na Uenezi
29 Julai, 2021.


Credit: MPEKUZI

Thanks for your time please share with your friends
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: Taarifa Ya Kikao Cha Kamati Kuu Ya Ccm Maalum Iliyoketi Julai 29,2021,ikulu Jijini Dar Es Salaam
Taarifa Ya Kikao Cha Kamati Kuu Ya Ccm Maalum Iliyoketi Julai 29,2021,ikulu Jijini Dar Es Salaam
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiucaOkG_s3MB1UT-ju0tywJuIo6VQOGzhVSCRUzYSUQk9dSjbv1W7xxaOI9yhaTaLIVc96LvOVrvMj6niII8GJlbkzbAtkrdtGyMUwSiuCqL7E-eg8Y_rJyq8hp7SQY9jeTJpeY3RuKpL9/s16000/1.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiucaOkG_s3MB1UT-ju0tywJuIo6VQOGzhVSCRUzYSUQk9dSjbv1W7xxaOI9yhaTaLIVc96LvOVrvMj6niII8GJlbkzbAtkrdtGyMUwSiuCqL7E-eg8Y_rJyq8hp7SQY9jeTJpeY3RuKpL9/s72-c/1.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/07/taarifa-ya-kikao-cha-kamati-kuu-ya-ccm.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/07/taarifa-ya-kikao-cha-kamati-kuu-ya-ccm.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy